Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Chrismas bado mwezi mmoja na ushee!
Kuna watakaotaka kusafiri kwa magari yao wakawaringishie ndugu zao Moshi!
Kuna wanaoenda mbugani kuona wanyama!
Kuna watakaotaka kutalii tu kiujumla!
Kuna wengine ndio watwaita ndugu na jamaa wale na wanywe pamoja.
Kuna wengne ndio wanajitayarisha kwa sherehe kubwa ya kuzaliwa Mwokozi wa wadhambi duniani.
Yoote hayo yanahitaji fedha za kutosha .
Je wewe umejitayarishaje?