Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ndugu zangu hawa watumishi wa Mungu wana mizigo mizito mtu kakopa pesa za watu kazilia bata kashindwa kulipa kaona isiwe tabu, kwa kuwa ameona wengine wakishuhudia kuwa walikuwa na mizigo mikubwa ya madeni eti baada ya kuombewa madeni yote ya yaneisha.
Ndugu zangu dawa ya deni ni kulipa, ukitaka miujiza ikusaidie kulipa madeni utawekewa mikono na watumishi mpaka udumae.
Ndugu zangu dawa ya deni ni kulipa, ukitaka miujiza ikusaidie kulipa madeni utawekewa mikono na watumishi mpaka udumae.