Umekopa pesa za watu umeshindwa kulipa eti unaenda kwa Mwamposa uombewe! Lipa pesa za watu

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Ndugu zangu hawa watumishi wa Mungu wana mizigo mizito mtu kakopa pesa za watu kazilia bata kashindwa kulipa kaona isiwe tabu, kwa kuwa ameona wengine wakishuhudia kuwa walikuwa na mizigo mikubwa ya madeni eti baada ya kuombewa madeni yote ya yaneisha.


Ndugu zangu dawa ya deni ni kulipa, ukitaka miujiza ikusaidie kulipa madeni utawekewa mikono na watumishi mpaka udumae.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸšΆπŸšΆ
 
Baada hiyo anayochanga apunguze deni yeye anaenda kumpa Nabii amuombee ili asilipe madeni ya watu. Hawa watu ndio benki inapopiga minada nyumba zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…