Hakuna jamii yeyote Duniani ambayo kuna usawa kwenye kila kitu. Hata hapa Marekani watoto wa George H Bush wamekuwa maarufu na kuwa Governors na mmoja Raisi kwasababu babu yao alikuwa tajiri, baba akawa tajiri akaweza kuwasomesha shule nzuri sana na kuwapa elimu bora. Hii haina maana kwamba hawa watoto ambao wamekuja kuwa Maraisi wanavipaji kuliko wengine lakini wameweza kupata fursa ambazo ni ngumu kupata mtoto wa masikini.
Hii hipo sehemu nyingi sana. Yule mtoto wa Kikwete ingewezekana asiwe lawyer kama angezaliwa Mtwara vijijini kwa familia masikini lakini haibadilishi ukweli kwamba mtoto wa Kikwete kamaliza Chuo Kikuu cha Dar law school. Na kwakutumia hili huwezi kusema mtoto wa Kikwete ambaye kamsomesha ni sawa tu na yule ambaye hajapata elimu kijijini kwasababu wana vipaji vya kuzaliwa sawa!
Kwa namna hii huwezi kuacha kutangaza shule na matokeo kwasababu tu wanafunzi wengi wa shule hizo na walimu wanapitia magumu sana kulinganisha na wengine.
Mimi mfano nilisoma Ilboru O-level wakati tulivyokuwa Ilboru watoto wa kutoka Arusha School walikuwa wanatuzidi mwanzoni kwasababu ya mazingira yao lakini sisi tuliongeza jitihada na kulingana na hata kuwapita. Huwezi kutumia kisingizio hiki kuacha kutangaza ukweli. Sasa ina maana tutaanza kupeleka watoto kusoma Udaktari ambao hawajafaulu? Au kuendesha ndege ambao hawajafaulu kwasababu kama hizi?
Wabunge wamekuwa kama vilaza anadanganya eti utaratibu wa kupima na mitihani haupo popote. Si kweli. Shule zinapimwa na mitihani hapa USA ndiyo hivyo. Sasa tutaanza kupima watu kwa background! huu ni uongo.
Yes, lakini shule zetu zinaenda kwa majimbo. Mimi kama mlipa kodi nataka kujua shule ya hapa kwangu ina matokeo gani. Watu wengi sana wanahamia sehemu kutokana na uzuri wa shule
Nakukatalia mawazo na mitazamo yako,kwa mifano tafuta,shule zilizofutiwa matokeo na kukatazwa kuba vituo vya kufanyia mitihani, kwa utafiti wangu mdogo ni yenye majina mazuri mazuri, yenye kushawishi na kuvutia kwa maana ya ubora wa kazi au huduma wanazotoa,iwe kibiashara au wanachokiita coincidence 🤔
Yes lakini shule zetu zinaenda kwa majimbo. Mimi kama mlipa kodi nataka kujua shule ya hapa kwangu inamatokeo gani. Watu wengi sana wanahamia sehemu kutokana na uzuri wa shule
Kama umefeli kwasababu umetokea familia masikini na ulikuwa huna vitabu ni jambo baya. Lakini hili haina maana kwamba mimi niliyetokea familia yenye uwezo sijafaulu!
Hawa wanasiasa wenyewe ni kwanini wanapeleka watoto wao Fedha na sio shule za kata kama matokeo ni yaleyale
Mifano yako yote uliyotoa hata haiendani na suala la Matokeo ya shule na wanafunzi kupangwa kuanzia namba moja mpaka mwisho kitaifa. Ni upupu mtupu umeandika hapa.
Hakuna jamii yeyote Duniani ambayo kuna usawa kwenye kila kitu. Hata hapa Marekani watoto wa George H Bush wamekuwa maarufu na kuwa Governors na mmoja Raisi kwasababu babu yao alikuwa tajiri, baba akawa tajiri akaweza kuwasomesha...
Yes lakini shule zetu zinaenda kwa majimbo. Mimi kama mlipa kodi nataka kujua shule ya hapa kwangu inamatokeo gani. Watu wengi sana wanahamia sehemu kutokana na uzuri wa shule
Mnaongea vitu ambavyo hamfahamu. Mimi niko hapa ni shule zote kuanzia miaka 7 mpaka 18 Grade 2 mpaka 12 kuna mitihani. Kuna mpaka mitihani ya kuingia vyuo
Ni kweli. Nazani ni kazi ya Serikali kuhakikisha kwamba mazingira ya shule zake yanakuwa bora kwa walimu na wanafunzi sawa sawa na hizo shule zinazofaulisha