Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Dah am so sad kwa kweliMwanamke hutakiwi kulia njaa, mwanamke lake jiko🏃
Kaone kwanza. Badala ya kuniagizia msosi niletewe unaniambia hivyo. Haupo romantic😏Pole... Nyonya maziwa 😂😂
KaoneNi kweli sipo romantic, niko JF muda huu. Kwani wewe upo romantic??
Kula tu uenjoy maana mwisho kufa utakufa tu iwe kibonge au umekonda.Za afya, binafsi napendelea kunywa uji wa ulezi na viazi vitamu. Siku zingine nakula majani chuku chuku ya maboga, matunda kidogo au maharagwe chuku chuku!
Kwa leo nimekula majani chuku chuku ya maboga na maharagwe chuku chuku kidogo kama breakfast, plus maziwa kiasi!
Karibuni tu share!