Umekula nini asubuhi hii?

Umekula nini asubuhi hii?

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,269
Za afya, binafsi napendelea kunywa uji wa ulezi na viazi vitamu. Siku zingine nakula majani chuku chuku ya maboga, matunda kidogo au maharagwe chuku chuku!

Kwa leo nimekula majani chuku chuku ya maboga na maharagwe chuku chuku kidogo kama breakfast, plus maziwa kiasi!

Karibuni tu share!
 
sijala chochote mpaka dk hii.
Ila ifikapo saa nne nitakula mkate wa brown na maziwa ya soya.
 
Za afya, binafsi napendelea kunywa uji wa ulezi na viazi vitamu. Siku zingine nakula majani chuku chuku ya maboga, matunda kidogo au maharagwe chuku chuku!

Kwa leo nimekula majani chuku chuku ya maboga na maharagwe chuku chuku kidogo kama breakfast, plus maziwa kiasi!

Karibuni tu share!
Kula tu uenjoy maana mwisho kufa utakufa tu iwe kibonge au umekonda.
 
Back
Top Bottom