ππAhsante kwa ushauri mzuri na kutukumbusha! Je ukila nanasi lile kubwa zima ni vizuri kiafya ama nimejioverdose? Maana nimekula hadi meno yanauma hapaπ
Ndio tunda gani hilo?
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Kiumbwe mwenye afya na nguvu kuliko wote ulimwenguni, Simba, hali matunda wala mboga. Sijui hili tunalizungumziaje.
View attachment 1708746
... simba mla nyama akiwa vitani na twiga wawili walioshiba majani na matunda.
Kiumbwe mwenye afya na nguvu kuliko wote ulimwenguni, Simba, hali matunda wala mboga. Sijui hili tunalizungumziaje.
View attachment 1708746
... simba mla nyama akiwa vitani na twiga wawili walioshiba majani na matunda.
Duu, simba yuko sokoni anakula apples... atakuwa simba wa kufugwa