Umekula tunda gani leo?

Mzee hili tunda mbona huwa naona lina sukari nyingi sana,kweli mtu unaweza kula sahani nzima!
Watu wanakula fenesi zima, tena watu wawili Tena Yale makubwa kabisa na kusukumizia na uji nusu ndoo,hii ilikuwa naiona Sana kijijini kwetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…