Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee hili tunda mbona huwa naona lina sukari nyingi sana,kweli mtu unaweza kula sahani nzima!
Watu wanakula fenesi zima, tena watu wawili Tena Yale makubwa kabisa na kusukumizia na uji nusu ndoo,hii ilikuwa naiona Sana kijijini kwetu...Mzee hili tunda mbona huwa naona lina sukari nyingi sana,kweli mtu unaweza kula sahani nzima!