Umekula tunda gani leo?

Matunda Ni Kila siku avocado 1x2, kwa wiki Embe 5x2, ngogwe au nyanya chungu 5x2 kwa wiki, nyanya maji 2x2 kwa siku...vingine nimesahau. Huko Dar ndo mnahesabu mnapokula matunda mzee.
 
Hivi mkuu mfano nikiwa nakula Matunda tu kila siku asubuhi mchana usiku na maji kwa wingi bila kula kitu kingine chochote inasaidia
Utapata matatizo mengi ya kiafya mkuu. Gas itajaa tumboni, utapungua uzito kwa kiwango kikubwa, nguvu zitapungua...nk.
 
Hivi mkuu mfano nikiwa nakula Matunda tu kila siku asubuhi mchana usiku na maji kwa wingi bila kula kitu kingine chochote inasaidia
Inasaidia lakini mwili unahitaji wanga kwa ajili ya nishati..hivyo mchana jitahidi kula kitu kizito
 
Utapata matatizo mengi ya kiafya mkuu. Gas itajaa tumboni, utapungua uzito kwa kiwango kikubwa, nguvu zitapungua...nk.
Inasaidia lakini mwili unahitaji wanga kwa ajili ya nishati..hivyo mchana jitahidi kula kitu kizito
Daah basi mimi gas huwa inajaa sana tumboni nikila vyakula vingine. Na huko kupungua ndiko ninakokuhitaji wakuu yaani nahitaji kuwa mwembamba sana sitaki kabisa kuwa na mwili.
 
Asante gwiji pekee wa JamiiForums, NGULI, Master, Mshana Jr a.k.a RABI, Master, Teacher, Guru
 
Daah basi mimi gas huwa inajaa sana tumboni nikila vyakula vingine. Na huko kupungua ndiko ninakokuhitaji wakuu yaani nahitaji kuwa mwembamba sitaki kabisa kuwa na mwili.
Balance vyakula
Asubuhi kula vizurit si lazima ushibe
Mchana kula kitu kizito
Jioni kula kidogo mostly matunda na shurubati isiyochakachuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…