Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleeeeehAhsante kwa ushauri mzuri na kutukumbusha! Je ukila nanasi lile kubwa zima ni vizuri kiafya ama nimejioverdose? Maana nimekula hadi meno yanauma hapa[emoji16]
Utapata matatizo mengi ya kiafya mkuu. Gas itajaa tumboni, utapungua uzito kwa kiwango kikubwa, nguvu zitapungua...nk.Hivi mkuu mfano nikiwa nakula Matunda tu kila siku asubuhi mchana usiku na maji kwa wingi bila kula kitu kingine chochote inasaidia
Inasaidia lakini mwili unahitaji wanga kwa ajili ya nishati..hivyo mchana jitahidi kula kitu kizitoHivi mkuu mfano nikiwa nakula Matunda tu kila siku asubuhi mchana usiku na maji kwa wingi bila kula kitu kingine chochote inasaidia
Utapata matatizo mengi ya kiafya mkuu. Gas itajaa tumboni, utapungua uzito kwa kiwango kikubwa, nguvu zitapungua...nk.
Daah basi mimi gas huwa inajaa sana tumboni nikila vyakula vingine. Na huko kupungua ndiko ninakokuhitaji wakuu yaani nahitaji kuwa mwembamba sana sitaki kabisa kuwa na mwili.Inasaidia lakini mwili unahitaji wanga kwa ajili ya nishati..hivyo mchana jitahidi kula kitu kizito
Asante gwiji pekee wa JamiiForums, NGULI, Master, Mshana Jr a.k.a RABI, Master, Teacher, GuruTikiti maji na nguvu za kiume
Tafiti za karibuni zinasema karibuni zinaonyesha kila wanaume watatu mmoja na ana tatizo la kupungua kwa nguvu za kiume na dalili zinaonyesha idadi itaongezeka mara mbili miaka ya karibuni.
Kwa bahati nzuri madaktari na watafiti mbalimbali wameendelea kufanya utafiti juu ya suluhisho la tatizo hili kwa njia salama zisizo na madhara mengine baadaye.
Tikiti maji linasemwa kuwa ni mkuyati wa asili pia kama lilivyo parachichi. Kwenye tikiti maji kuna vitu hivi vitatu mhimu sana kwa afya ya mapenzi navyo ni ‘lycopene’, ‘beta-carotene’ na ‘citrulline’ ambavyo husaidiwa kuweka mishipa ya damu katika hali ya utulivu.
Tikiti maji ni viagra ya asili inayoweza kutumika kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa watu wa jinsia zote mbili bila kukuacha na madhara yoyote mabaya.
Kwenye tikiti maji hasa mbegu zake kuna kitu kingine kinaitwa ‘L-arginine’ ndicho ambacho huhusika na kuongeza nguvu za kiume. Mbegu za tikiti maji zimeonyesha matokeo mazuri katika kuimarisha nguvu za kiume hata kwa wazee kabisa.
Unachohitaji ni kula tikiti maji kila siku sambamba na mbegu zake na hutakawia kuona tofauti.
Faida nyingine 27 za tikiti maji kiafya
Asilimia 92 yake ni maji
Vitamini A ndani yake huboresha afya ya macho
Vitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili
Huponya majeraha
Hukinga uharibifu wa seli
Huboresha afya ya meno na fizi
Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema
Hubadilisha protini kuwa nishati
Chanzo cha madini ya potasiamu
Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la juu la damu
Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
Huondoa sumu mwilini
Huongeza nguvu za kiume hasa ukila pamoja na mbegu zake
Tunda zuri kwa mwenye Kisukari aina ya pili
Husafisha figo
Huzuia na kutibu kansa mbalimbali
Tunda zuri kwa mwenye ugonjwa wa moyo
Huzuia na kutibu pumu
Hutibu tatizo la kufunga choo
Hufanya ngozi ing’ae
Huhamasisha kuota nywele
Husaidia kupunguza uzito
Huimarisha mifupa
Husaidia kuponya vidonda na majeraha
Huzuia madhara yasitokee katika seli
Huzuia ugonjwa wa baridi yabisi ya moyo (heart stroke)
Hutibu kiseyeye (scurvy)
Balance vyakulaDaah basi mimi gas huwa inajaa sana tumboni nikila vyakula vingine. Na huko kupungua ndiko ninakokuhitaji wakuu yaani nahitaji kuwa mwembamba sitaki kabisa kuwa na mwili.
Ill lisikupe shida ya meno,liwekee chumvi kiasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we upo ka mm uwa naligonga peke angu mpk amu iniishe ila nikimaliza mimeno yote miganzi
Okay shukrani barikiwa MkuuBalance vyakula
Asubuhi kula vizurit si lazima ushibe
Mchana kula kitu kizito
Jioni kula kidogo mostly matunda na shurubati isiyochakachuliwa