Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kula tunda 👉kimasihara.Kimasihara..
hhhhhDuh..[emoji3][emoji3][emoji3]haki ya nani shetani kwako kasimamia ukucha
Hahahaha mim nakula sana mkuu.hasa asubuhi. Nadhan co mbayaAhsante kwa ushauri mzuri na kutukumbusha! Je ukila nanasi lile kubwa zima ni vizuri kiafya ama nimejioverdose? Maana nimekula hadi meno yanauma hapa😁
Chief Mshana JrTikiti maji na nguvu za kiume
Tafiti za karibuni zinasema karibuni zinaonyesha kila wanaume watatu mmoja na ana tatizo la kupungua kwa nguvu za kiume na dalili zinaonyesha idadi itaongezeka mara mbili miaka ya karibuni.
Kwa bahati nzuri madaktari na watafiti mbalimbali wameendelea kufanya utafiti juu ya suluhisho la tatizo hili kwa njia salama zisizo na madhara mengine baadaye.
Tikiti maji linasemwa kuwa ni mkuyati wa asili pia kama lilivyo parachichi. Kwenye tikiti maji kuna vitu hivi vitatu mhimu sana kwa afya ya mapenzi navyo ni ‘lycopene’, ‘beta-carotene’ na ‘citrulline’ ambavyo husaidiwa kuweka mishipa ya damu katika hali ya utulivu.
Tikiti maji ni viagra ya asili inayoweza kutumika kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa watu wa jinsia zote mbili bila kukuacha na madhara yoyote mabaya.
Kwenye tikiti maji hasa mbegu zake kuna kitu kingine kinaitwa ‘L-arginine’ ndicho ambacho huhusika na kuongeza nguvu za kiume. Mbegu za tikiti maji zimeonyesha matokeo mazuri katika kuimarisha nguvu za kiume hata kwa wazee kabisa.
Unachohitaji ni kula tikiti maji kila siku sambamba na mbegu zake na hutakawia kuona tofauti.
Faida nyingine 27 za tikiti maji kiafya
Asilimia 92 yake ni maji
Vitamini A ndani yake huboresha afya ya macho
Vitamini C ndani yake huimarisha kinga ya mwili
Huponya majeraha
Hukinga uharibifu wa seli
Huboresha afya ya meno na fizi
Vitamini B6 husaidia ubongo kufanya kazi vema
Hubadilisha protini kuwa nishati
Chanzo cha madini ya potasiamu
Husaidia kushusha na kuponya shinikizo la juu la damu
Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
Huondoa sumu mwilini
Huongeza nguvu za kiume hasa ukila pamoja na mbegu zake
Tunda zuri kwa mwenye Kisukari aina ya pili
Husafisha figo
Huzuia na kutibu kansa mbalimbali
Tunda zuri kwa mwenye ugonjwa wa moyo
Huzuia na kutibu pumu
Hutibu tatizo la kufunga choo
Hufanya ngozi ing’ae
Huhamasisha kuota nywele
Husaidia kupunguza uzito
Huimarisha mifupa
Husaidia kuponya vidonda na majeraha
Huzuia madhara yasitokee katika seli
Huzuia ugonjwa wa baridi yabisi ya moyo (heart stroke)
Hutibu kiseyeye (scurvy)
Ulishikwa eeh, mganga hajigangi.Mtani niwekee bado inanoki kuja huko
Eeh Mungu baba wasamehe bure waja wako....tunaziishi nyakati[emoji2827][emoji2827][emoji2827]Na mimi nakazia hapo hapo tatizo kuna matunda mengine yapo miilini mwa watu aiseee[emoji1751] nimeyakoroga hivi kumbe nipo nje ya mada Sorry Mshana Jr [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sasa hapo utakuwa unatengeneza madini joto badala ya vitamini CIll lisikupe shida ya meno,liwekee chumvi kiasi
Noma sana kuna mdau kaniambia kama inaleta ganzi tuweke chumvi ngachoka aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Yaani sijaamini kama ndiyo namalizia kipande cha mwisho cha nanasi zima kubwa! Lilikua poa sana tatizo meno sasa[emoji2088]
Please jaribu iko poa sana..ukishamenya nanasi liloweke kwenye chombo chenye maji yenye chumvi kiasi kama dakika 5,10 kisha kula[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sasa hapo utakuwa unatengeneza madini joto badala ya vitamini C
Chumvi tena si utaharibu taste ya nanasi jamani achana na huo ushauri mkuu😀Noma sana kuna mdau kaniambia kama inaleta ganzi tuweke chumvi ngachoka aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikua nahofia uko ndani ya mwili reaction yake itakuaje! Maana mwili wenyewe ukizidisha shida!ukipunguza pia shida dah. Ila najiskia poa na lunch nahisi sitokula bado nimeshiba shiba aisee😀Hahahaha mim nakula sana mkuu.hasa asubuhi. Nadhan co mbaya
Unamaanisha niweke chumvi kwenye nanasi? Ama nisukutue kwenye meno doctor ? Unaleta mambo ya kilingeni hata kwa vitu vya hospital mkuu😀😀Pls try ikiharibika nidai mara 10
Hapana my dear ukishalimenya na kulikatakata nanasi lako vile vipande vitie kwenye chombo chenye maji kiasi na chumvi kiasi ...acha kwa dakika kadhaa kisha anza kula , ukichukua toka chomboni..the flavor is amazingUnamaanisha niweke chumvi kwenye nanasi? Ama nisukutue kwenye meno doctor ? Unaleta mambo ya kilingeni hata kwa vitu vya hospital mkuu[emoji3][emoji3]