Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tkikiti, Nanasi, ndizi mbivu, Carrot Tango na Parachichi(Mchanganyiko)Tikiti, nanasi, ndizi mbivu
Nikiri tu mkoa wa pwani una matunda mengi labda uwe mvivu kununua.
Hili parachichi ni tamu sanaaaaa,😋😋😋😋
Kiumbwe mwenye afya na nguvu kuliko wote ulimwenguni, Simba, hali matunda wala mboga. Sijui hili tunalizungumziaje.
View attachment 1708746
... simba mla nyama akiwa vitani na twiga wawili walioshiba majani na matunda.
Usijali, tutavunjiana nusu kwa nusu ikibidi.
Ungetumia lile neno lingine mtani[emoji2][emoji2][emoji2]Usijali, tutavunjiana nusu kwa nusu ikibidi.