Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani kama unalo takuja plsZaituni (Mshana Jr sijui kama uliwahi kula hii tamu sana sana), papai, chungwa,
Ninayapata mitaa ya kwako hapo, siku nikienda nitakushtua.
Dah mtani umenikumbusha Zaituni Kidawa mtoto wa Kitanga ( Zai cheupe)[emoji2][emoji2][emoji2]
Ulimla?Dah mtani umenikumbusha Zaituni Kidawa mtoto wa Kitanga ( Zai cheupe)[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2839][emoji2839][emoji2839][emoji40][emoji40][emoji40]Ulimla?
nimekula tunda kimasiharaKwa hakika kama kuna mtu kati yetu asubuhi ya leo kala tunda lolote lile basi ni wale waliolala zile hotel zenye bed n breakfast full course. Wengine wetu kwa uchache mno ni wale wafanya diet na kwa uchache zaidi wale wanaotambua umuhimu wa matunda mwilini kiafya. Wengi wetu humaliza mpaka wiki bila kula hata kipande kimoja cha tunda lolote.
Wengi huwa hawali matunda mpaka waandikiwe na daktari kama sehemu ya tiba. Kwao kula tunda ni sehemu ya anasa na kupoteza pesa..
Matunda yana faida kubwa mwilini kiafya kuliko hata nyama. Matunda ni sehemu muhimu ya tiba. Matunda yana uwezo wa kukujenga kiafya na kukukinga na maradhi mengi. Ni afadhali mara mia ukala matunda ya buku kuliko kula mchemsho wa buku 2, Matunda ni tiba ya magonjwa mbalimbali.
Matunda ni sehemu muhimu ya tiba mbadala na ujenzi wa mwili imara na wenye nguvu.
Baadhi yetu hupendelea shurubati zaidi kuliko matunda yenyewe. Ni sawa pia lakini shurubati isiyo halisi inakuwa imechanganywa na vionjo vingine hivyo kupunguza kwa kiasi fulani nguvu ya kutenda.
Huu ni ushauri wangu kwako pamoja na kunywa maji mengi na kupangilia milo yako lakini usisahau kitu hiki muhimu sana TUNDA. Jitahidi kupata kipande cha tunda kwenye kila mlo wako.. kuna siku utanikumbuka na kunishukuru kimoyomoyo
Je, umekula tunda gani leo?
Will try thisUji wa mchele mixa carrot na maziwa fresh. View attachment 1761880
Hapo mtu aseme.... nguvu za kiume zimeisha... atakuwa karogwaUji wa mchele mixa carrot na maziwa fresh. View attachment 1761880
Karibu Dr. Mstaafu wa kilinge😀[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]