Umekumbana / unakumbana na changamoto gani kwenye mitandao ya kijamii?

24 Megapixel

Senior Member
Joined
Mar 2, 2019
Posts
149
Reaction score
328
Heri ya Pasaka ndg zangu wana JF

Bila shaka wote ni miongoni mwa watu tunaotumia sana mitandao ya kijamii kuwasiliana

Mitandao hii inachangamoto lukuki, mitandao hii imevunja mahusiano (ndoa za watu), mitandao hii imesababisha watu mda huu wapo jera (kwa kutapeli, kupost picha za utupu) nk

Japo na faida zipo pia, kuna watu wanapiga pesa kupitia mitandao hii mfano Youtube, Blogs nk,, Kuna watu wamepata wenza kupitia hii hii mitandao

Mimi changamoto nyingi nakumbana nazo FACEBOOK, mtu kapost msiba unashangaa post ina like 100 na kuendelea, ndo nabaki kusikitika ina maana kuna watu wanapenda msiba???

FACEBOOK hiyo hiyo unakuta mtu kashare picha ya mdada fulani kavaa ovyo harafu post inasomeka share nikupe namba zangu tuchat, Mara nina nyenge nataka mtu wa kuzitoa na unashangaa jamaa kweli kashare

Kwenye kushare hapo hapo unakuta mtu kashare picha ya mtu kakatwa katwa sijui mapanga sijui visu picha inatisha harafu jamaa kaandika usipite bila kusema AMEN, hawa wote mimi huwa nawa-unfriend??

Wewe pia unaweza kujazia ni changamoto gani unakumbana nazo kwenye hii mitandao, mimi nimeeleza kidogo ya FACEBOOK!

HERI YA PASAKA
 
changamoto yangu ni pale napokutana na picha za wanawake wenye vyoo vyao huwa wananipa tabu sana,
popote walipo watambue me sina demu.
 
changamoto yangu ni pale napokutana na picha za wanawake wenye vyoo vyao huwa wananipa tabu sana,
popote walipo watambue me sina demu.
Changamoto yangu ni kumlipia nauli demu kisa umeona tako la haja kwenye fb cha ajabu akija hafanani hata kidogo
 
Sijawahi kukutana na changamoto yeyote, kwasababu mara nyingi nina apply flexibility ninapo kuwa kwenye social media/network yeyote.....
 
"Usipite bila kumuombea huyu mtu,Kama unataka namba zangu share picha"Hizi ndo changamoto nazokumbana nazo fas ya F benga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…