Umekumbuka kuwatumia chochote wazazi walezi au ndugu zako?

Umekumbuka kuwatumia chochote wazazi walezi au ndugu zako?

Futuza

Senior Member
Joined
Sep 9, 2022
Posts
127
Reaction score
515
Tarehe kama hizo najua baadhi yetu mifuko imetuna,Kwa wale majobless msikonde iko siku..nirudi kwenye mada,je umekumbuka kutuma chochote Kwa wazazi wako,walezi au pengine hata ndugu zako..?
Tujitahidi tutume chochote Kwa wazazi tusisubiri kuombwa kwani ndio baraka zilipo..kumwagilia Moto sio dhambi Ila ije baada ya kuwakumbuka wengine na kutimiza yale majukumu muhimu.
Weekend njema.
 
Natuma sana na wanakaba sana wazazi sio sana ila kuna majamaa,marafiki na ndugu hatariii.
 
Back
Top Bottom