Huo wimbo ni wa mzee yusufu, maana yake ukila vya watu unatakiwa kulipa
Ha ha haaaaaa!
Kazi sana hii!...
Sa utamjuaje anayekupa ofa kama ana nia gani?
ankal JK alisema "ukila vya watu shurti nawe uliwe"...kwi kwiii kwiiii!
Ha ha haaaaaa!
Kazi sana hii!...
Sa utamjuaje anayekupa ofa kama ana nia gani?
tumpekenyue fasta fasta......
Ha ha haaaaaa!
Kazi sana hii!...
Sa utamjuaje anayekupa ofa kama ana nia gani?
Acha matusi wewe...