Umekutana na hizi taarifa? 'Ujumbe kutoka kwa Vladmir Putin watua ikulu Chamwino'

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi, Mhe. Vladimir Putin, uliowasilishwa kwake na Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 06 Novemba, 2025.


​
 
wauaji wote,ila mmoja anaua raia wake
 
Wakuu,

Nimesikitika kuona viongozi wanakumbatiana na hawa Warusi.

Yaani tunaachana na reliable partners kama Marekani, Uingereza na EU kwa ujumla tunagandana na hawa Warusi ambao neno DEMOKRASIA halipo kwenye Kamusi yao.

Ni aibu sana. For the next 5 years tungoje kuona Wachina, Warusi na Madikteta wengine wakiwa wanapishana hapo Chamwino

Your browser is not able to display this video.
 
“Useful idiots” we are
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…