Umekutana na mdada kwenye daladala ukavutiwanaye tumia mbinu hii

Umekutana na mdada kwenye daladala ukavutiwanaye tumia mbinu hii

martinezstavo

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
735
Reaction score
1,552
Me: hey
She: .......

Me: samahani kwa kukusumbua ilhali nafahamu kabisa unakimbizana na pilika za hapa na pale, kwa jinsi mazingira yalivyokuwa kwenye gari nilifikili kuwa isingekuwa busara kukufikia hivyo....................

Umekutana na mdada kwenye daradara amekuvutia ukaamua kumtongoza .. Unaweza malizia hapo.. Twende kazi.
 
apana mkuu nimeamka mnara unasoma 5G alaf mfkoni ngoma inasoma 0-0
ulikuwa ni wakati wako mzuri wa kufikiria huo mfuko ikifika jioni uwe full yaani 100% kuliko hiyo 0-0 hapo sasa hata ukikutana naye kwenye daladala hupati shida kupanga maneno huna kitu hata akikutongoza mwenyewe akuambie wewe kalipe gest tu huna kitu si ufala huo ?
 
Ukimpenda shoga unafanyaje?? Maana kuna demu anapandiaga daladala hapa kwetu namtaman sasa nmeambiwa sio demu ni shoga anavaa tu surual na nguo za kikee?
 
nakumbuka naenda dodoma nimekaa pembeni na mtoto kali ila yupo kimya hana story natafuta jinsi ya kuzungumza nae! kufika chalinze yy alikuwa amekaa upande wa dirishani nikamwambia anichukulie voucher dirishani wa wale wanauza nje ya gari akachukua akanipa bila kuongea nilikasirika sana.. hataki kuinyesha ushirikiano. tukafika morogoro tukashuka kwenda kula nikamlipia akaniambia asantee bado story hakuna hahahaha! baada ya safari nikamchoza hadi akaongea nikasema akifika dodoma nashuka nae katika story akaniambia yy ni mnenguaji katika bandi moja iliyopo Dar es salaam. nikakata moto bas sikuongea hadi nafika dodoma nikajifanya nimepitiwa na usingizi hawa wanenguaji huwa nawaogopa sana sijui kama nipo sasa ama ni fikira potofu dhidi yao maana wana kutana na watu wengi
 
Me: hey
She: .......

Me: samahani kwa kukusumbua ilhali nafahamu kabisa unakimbizana na pilika za hapa na pale, kwa jinsi mazingira yalivyokuwa kwenye gari nilifikili kuwa isingekuwa busara kukufikia hivyo....................

Umekutana na mdada kwenye daradara amekuvutia ukaamua kumtongoza .. Unaweza malizia hapo.. Twende kazi.
Kwa maneno machafu kama haya. Nakushauri uanze na mazoezi ya kuruka ndani ya daladala. Kichapo kinakuhakia...
 
Back
Top Bottom