Umekutana na mdada kwenye daladala ukavutiwanaye tumia mbinu hii

Ukimpenda shoga unafanyaje?? Maana kuna demu anapandiaga daladala hapa kwetu namtaman sasa nmeambiwa sio demu ni shoga anavaa tu surual na nguo za kikee?
mchagua jembe si mkulima
 
Hujakutana na demu kauzu. Palepale anakuomba million mbele za watu.

Ukamtombe vizuri sasa jichanganye utoe kweli utatomba sanamu yeye mzimaaa anakutizama tu.

Anakupa masharti kila mwisho wa mwezi rete hela.

Ndo umepata jini hivo utakuwa mtumwa mpaka ukome ubishi na hutokimo kirahisi. Wee ingia mjini jipendekeze uone
 
Me: hey
She: .......

Me: samahani kwa kukusumbua ilhali nafahamu kabisa unakimbizana na pilika za hapa na pale, kwa jinsi mazingira yalivyokuwa kwenye gari nilifikili kuwa isingekuwa busara kukufikia hivyo....................

Umekutana na mdada kwenye daradara amekuvutia ukaamua kumtongoza .. Unaweza malizia hapo.. Twende kazi.
Mwanangu akili zako fupi sana
 
Hujakutana na demu kauzu. Palepale anakuomba million mbele za watu.

Ukamtombe vizuri sasa jichanganye utoe kweli utatomba sanamu yeye mzimaaa anakutizama tu.

Anakupa masharti kila mwisho wa mwezi rete hela.

Ndo umepata jini hivo utakuwa mtumwa mpaka ukome ubishi na hutokimo kirahisi. Wee ingia mjini jipendekeze uone
Mbona hutumii tafsida?
 
kutongoza ni sanaa sio kila MTU anaweza
Sio lazima uwe muongeaji sana ndiyo mpate mwanamke au ndiyo uwe hodari kutongoza.. Wanawake wanapenda vitu vingi sana kuliko hata unachotaka kuongea hebu jaribu kumtoa lunch/dinner, hebu jaribu kuwa mcheshi kwake, hebu jaribu kumsaidia pale anapokua na shida, jaribu kumlinda pale anapojiona mdhaifu ukiyaweza haya utakua ndoto za mwanamke yoyote...

Epukeni maneno zaidi ya vitendo
 
hatupingani mkuu hapo ndio maana nimesema ni sanaa sasa mpaka MTU asiyeijua hii sanaa mpaka kung'amua hivyo mkuu sio Leo hayo mambo anaweza kenzi na @zeroiq tu
 
Back
Top Bottom