martinezstavo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 735
- 1,552
apana mkuu nimeamka mnara unasoma 5G alaf mfkoni ngoma inasoma 0-0Bange za asubuhi hujakunywa chai
tunajitahidi ila mambo bado magumu sanaNchi ya viwanda na msukumo kwa vijana kujiajiri. je tutafikia malengo?
ulikuwa ni wakati wako mzuri wa kufikiria huo mfuko ikifika jioni uwe full yaani 100% kuliko hiyo 0-0 hapo sasa hata ukikutana naye kwenye daladala hupati shida kupanga maneno huna kitu hata akikutongoza mwenyewe akuambie wewe kalipe gest tu huna kitu si ufala huo ?apana mkuu nimeamka mnara unasoma 5G alaf mfkoni ngoma inasoma 0-0
Njoo dm nikuelekeze utamtafuna chap chapUkimpenda shoga unafanyaje?? Maana kuna demu anapandiaga daladala hapa kwetu namtaman sasa nmeambiwa sio demu ni shoga anavaa tu surual na nguo za kikee?
Weka picha tuoneHuwezi amini nipo kwenye daladala nimekaa na mtoto mkali nilichoambulia ni salamu.
Mbona jina la meko lina tungi katikati?"Huwezi kuikomboa nchi kwa kutegemea vijana wanaowaza ngono na Pombe"
Che Guevara.
Kwa maneno machafu kama haya. Nakushauri uanze na mazoezi ya kuruka ndani ya daladala. Kichapo kinakuhakia...Me: hey
She: .......
Me: samahani kwa kukusumbua ilhali nafahamu kabisa unakimbizana na pilika za hapa na pale, kwa jinsi mazingira yalivyokuwa kwenye gari nilifikili kuwa isingekuwa busara kukufikia hivyo....................
Umekutana na mdada kwenye daradara amekuvutia ukaamua kumtongoza .. Unaweza malizia hapo.. Twende kazi.