Umelalaje?...

Unafanya ngono na hamjafunga ndoa......mbaya

Yaani ni mbaya lakini huo ndo ukweli! Ila kuwa na mpenzi umri huu bila hicho kitu inawezekana kweli? Japo ingekuwa vyema mpaka ndoa sema maisha ya siku hizi yamebadilika..
 
Yaani ni mbaya lakini huo ndo ukweli! Ila kuwa na mpenzi umri huu bila hicho kitu inawezekana kweli? Japo ingekuwa vyema mpaka ndoa sema maisha ya siku hizi yamebadilika..

mmmmhh!wazee wa zamani ndo walikuwa wanaweza siku hizi mmh sijui unaweza ukabana weeeee miaka hata 7 jamaa akionja tu akiona radha tofauti ndo kwanza anaingia mitini.
tatizo ni kwamba muoaji na mchezeaji wote ni ngumu kuwatambua.
 

Mshauri ajaribu na radha ya TG nayo itaongeza mapenzi.
 



haaa huyo mwanamke wa kiwapi?basi shughuli.
 
Mie naona hapa ni kudanganyana tuu au?? Wanawake wa hapa inaonekana wako active na wanakosa kutoka kwa wapenzi wao. Wanaume wengi ninao wajua pamoja na mimi wake zetu hawataki kabisaa. Anakwambia yeye anaweza kukaaa hadi miaka bila kutamani. Naamini wanawake woote wa humu ni waongo.

Huyo mwanaume kampa toy pengine litaamsha hisia amtamani mumewe! Huyo mwanaume ameshaona mkewe hayupo kabisaa. Lakini vinginevyo asingefanya hivyo. Wanawake humu hamsemi ukweli. mkiwa vitandani kwenu mmejikunyata na mme akitaka mnamuuliza 'wee kila siku tuuu?'

Hapa mna tuchuuza tuu!
 
View attachment 3931

...ulalaji wenu ni uthibitisho tosha juu ya ubora/udhaifu wa mahusiano yenu!
ni juu yako kuzidi kujenga, au kuendelea kubomoa,

shauri yako! πŸ™

Tanzania hakuna malazi ya aina hiyo hayo mambo hufuatana na tamaduni unachokifanya wewe sasa ni kumuiga tembo kunya Boga hatma yake makalio huchawanyika
 
 
Ukweli ni kwamba wanawake wengi wakishaolewa wanajisahau sana katika suala zima la kuwa wabunifu katika kudumisha ndoa zao;kwasababu kila wakati unarudia mambo yaleyale ambayo yamekwisha zoeleka.Hapo ndipo nyumba ndogo zinapopiga bao nyumba kubwa;wanachofanya ni kucheza na huo udhaifu iliopo.
 
Tanzania hakuna malazi ya aina hiyo hayo mambo hufuatana na tamaduni unachokifanya wewe sasa ni kumuiga tembo kunya Boga hatma yake makalio huchawanyika

...pheeeeeeeeeeeeeeewww! una maana gani kusema Tanzania hakuna malazi ya aina hiyo?

...Binadamu wote ni sawa ndugu, iwe ni binaadamu wa Afrika, Asia au Amerika,...kulala ni kulala tu...iwe unalala kwenye kitanda cha tende, mkekani au kwenye sita kwa sita, au huko 'Tanzania' kwenu mnalalaje tofauti na Tanzania yangu ewe ndugu?
 

...sijui nikujibu? aarrgghh...basi bana, na reserve my comments πŸ˜€
 

...nishakumbana na simulizi tatu za kweli (watu ninaowajua,) ambao waume zao walikuwa wanajaribu kila njia kukwepa tendo la ndoa, ikiwemo kulala mzungu wa nne, kutokulala chumba kimoja na mkewe, na kutolala nyumbani kabisa mpaka pale mke alipokuja kubaini ukweli kuwa mumewe kaathirika na UKIMWI, na kwakuwa alishajijua hakutaka kumuambukiza mkewe.

Sikutishi Belinda, nakutahadharisha tu ni bora mliongee ujue kulikoni mabadiliko ghafla?


...naam, ukweli huuma, huenda taratiiibu mwenzio anaanza kupoteza nguvu za uume kila mnapogombana, mkilizungumza huenda mtalitatua hilo kabla 'maji hayajamwagika'.
 
Unafanya ngono na hamjafunga ndoa......mbaya

...πŸ™‚ Yo Yo, kufanya 'mapenzi' kabla hamjafunga ndoa, au kutokufanya 'mapenzi' baada ya kufunga ndoa, lipi bora?

...dont even think kusema yote mbaya! πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…