...bado sijaona ubaya wa toys, zaweza 'spice-up' mambo kama kina mama wanavyojifukiza udi, chachandu tosha kiunoni, vikuba, asumini kitandani na katika hayo... Ingekuwa Toys zenyewe kaletewa na hawara kweli, lakini kaletewa na mumewe kwa faida ya ndoa yao halafu yeye mbio mitaani kuwatangazia majirani na mashoga, huoni hapo ni kumdhalilisha tu mumewe?
Wanawake wengine bana.
...kutotaka ubunifu ndio kunakosababisha waume zenu kushangaa wakiwa nyumba ndogo, kwakuwa mkewe hajui kuvaa utunda, au hana hata kitaulo/ kileso cha kumfutia mumewe, yeye na shuka tu!
Baada ya miaka kadhaa pamoja, ubunifu mpya kusaidia kuamsha hisia ni bora kuliko kuwa retarded na njia hizo hizo miaka nenda rudi, tena kama ni mkweli wa nafsi, wengi wanaocheat huanza baada ya low sex drive (due so several factors) na kukosekana ubunifu katika tendo la ndoa ili kujikumbushia ashki zileeeeeeeee za mwaka 47!