Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Hahahha hahaha hahhah,yaani 2+2=samaki,ina mana hizo mbili zikigeukiana zinakaa kama mchoro wa samaki vile
3+3=8 mana yake ukifanya zigeukiane zinaonyesha ni nane
7+7=pembe tatu means zikigeukiana zinaonyesha kama kama pembe 3 ilivyo
8+8=zikigeukiana au kuziunganisha zinaonekana kama kipepeo
4+4=mshale,means zikigeukiana zinaonekana kama mshale
wapi bana?
Hayo manamba si unayajumlisha kwa kuyaunganisha instead of numericale? Ndo unapata hizo figure zenye umeainisha hapo juu...
Mfano: 7+7, ukifanya presumption kuwa hizo si namba ila ni michoro tu, ukigeuza 7 ya kwanza halafu ukiifungamanisha na 7 ya pili unapata umbo la triangle.
Hapo je?
Haya, amka kumekucha!
Du Mtu Chake naona huchezi mbali, unakaba mpaka kona muzee!....bebii..nini hicho umeandika hapo...au unataka kumshobokea watu...lol