kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
chai ushakunywaMambo ya kigaiga
😂😂😂😂😂Ngoma Kali sana mnanda umepata mtetezi wao nimependa pale alipoimba piga makofi Kama sehemu yako ya Siri hapajatumika
🤣🤣🤣kibunge bunge 🤣🤣
Watoto wa 2000 taifa limepata hasara kubwa sana. Matoto yanapenda kuiga upumbavu zaidi kuliko mambo ya msingi.Mambo ya kuigaiga, mnaiga mambo ya South Africa mnàyaketa bongo,