Umeliona ilo jimbo lake jipya la huyu bwana simba la masimba dangote 🔥🔥

Umeliona ilo jimbo lake jipya la huyu bwana simba la masimba dangote 🔥🔥

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
2,707
Reaction score
6,437
Wauni wana namba zao zinaitwa 45 na wengine wana namba zao zinaitwa 32 na wengi atuna namba ila chokoza Nenda kacheki video mjini youtube
20250201_091212.jpg
 
Ngoma Kali sana mnanda umepata mtetezi wao nimependa pale alipoimba piga makofi Kama sehemu yako ya Siri hapajatumika
 
Mambo ya kuigaiga, mnaiga mambo ya South Africa mnàyaketa bongo,
Watoto wa 2000 taifa limepata hasara kubwa sana. Matoto yanapenda kuiga upumbavu zaidi kuliko mambo ya msingi.

Unakuta jitu limejichora tattoo mwili mzima hadi usoni. Kusuka nywele kama dada zao, kuvaa manguo ya mechanika chanika kama vichaa. Kuongea kama hawana meno,hawajui kujenga hoja,wanafikiria kama nyumbu yaani ni full ukichaa.

Sasa haya mambo ya magenge ya uhuni wanaanza kuleta mazoea. Tutachapa huto tutako twao hadi wanyooke.
 
Back
Top Bottom