Mr Dumila
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 271
- 537
Dumila ipo Mkoani Morogoro kiukweli hali ya upatikanaji wa umeme ni mbayaa kupitiliza.
Sio kwamba ulikuwa haukatiki kipindi cha mwendazake la hasha ulikuwa unakatika sana tu ila awamu hii imepitiliza
Alipoingia January Makamba hali ndio imezid kubadilika yaani umeme unaweza katika siku 5 mfululizo na ukarudishwa usiku wa saa 5-8 na pakikucha tu umeme haupo
Hatukatai matengenezo maana walisema jua hvyo maji tatizo lakini kwa sasa mvua kila kona ya nchi ila tatizo hili ni Sugu
Waziri Makamba ukiendelea kuwa mpole na kucheka nao hao Tanesco adui wetu tutakuona ni wewe