za Gairo zinashusha Dumila piaMkuu, naomba unipe ramani ya Dumila kama nipo hapa Moro mjini(Msamvu) napanda bus za wapi/njia gani kufika huko..?
Umeshataja eneo lakini Subiri TANESCO aje aanze kukuuliza umtajie tena eneo.Dumila ipo Mkoani Morogoro kiukweli hali ya upatikanaji wa umeme ni mbayaa kupitiliza.
Sio kwamba ulikuwa haukatiki kipindi cha mwendazake la hasha ulikuwa unakatika sana tu ila awamu hii imepitiliza
Alipoingia January Makamba hali ndio imezid kubadilika yaani umeme unaweza katika siku 5 mfululizo na ukarudishwa usiku wa saa 5-8 na pakikucha tu umeme haupo
Hatukatai matengenezo maana walisema jua hvyo maji tatizo lakini kwa sasa mvua kila kona ya nchi ila tatizo hili ni Sugu
Waziri Makamba ukiendelea kuwa mpole na kucheka nao hao Tanesco adui wetu tutakuona ni wewe
Hakuna mbunge kuna mpokeaji mshahara tu Maana toka apitishwe tumemuona mara moja tu kipindi cha ziara ya Samia Dumila toka hapo tunamuonea kwenye luningaMbunge wenu bwana mimacho si yupo ongeeni nae. Morogoro karibu sehemu kubwa ni kero ya umeme nilikuwa Kimamba hali ni mbaya sana. Sijui hii treini ya umeme watatumia umeme huu.
Tatizo sio makamba tatizo ni bosi mkuu wa makamba kumkalia kimya makamba.Dumila ipo Mkoani Morogoro kiukweli hali ya upatikanaji wa umeme ni mbayaa kupitiliza.