"Umeme umerudi?"
"Haloo wenzetu huko umeme mnao? Sie huku tangu asubuhi hatuna"
"Nataka kuchaji simu mna umeme"
"Baba maji hayatoki - siku zote nawambia mkiona umeme hamna na maji hamna"
"Ndiyo umefata ile Cd? Itabidi uje baadae umeme ukirudi , ulikatika cd ikiwa ndani ya deki"