Ndiyo Maana mtanzania kuajiriwa na makampuni ya kigeni ni Kwa sababu tu Sheria zimelazimisha, lakini ki ukweli kabisa, Watanzania wengi ni wazembe na wanapenda zaidi starehe kuliko kazi
Watu wenyewe wawapo kazini, mmoja akijituma utawasikia wakimponda kusema, unateseeka,Kwani Kampuni ni ya babako??
Hao watumishi wa Tanesco wanaowajibishwa wanaonewa tu. Taratibu za manunuzi za nchi yetu kwa mfumo wa PPRA zinajulikana. Inaweza kuchukua hata miezi 10 kuagiza bidhaa kupitia mfumo huo na taratibu zake. Ukifuatilia kwa undani lazima utakuta watumishi wametimiza majukumu yao.Mabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi:
View attachment 1720216
Kumbe mambo yote ya hii kadhia yenye sura ya mgawo yako kidatu?
Kumeagizwa bearings hivi zinatengenezwa. Matengenezo yake tokea kwake beberu yanachukua muda kama clip inavyojieleza.
Tuwe na subira kidogo mwali wetu anakua.
Hata kama walisema ng'ombe wa maskini hazai, wetu watake wasitake lazima azae na azae jike!
Ninawasilisha.
Bado sana....
View attachment 1720230
Tatizo la huyu mtanzania linasonga na kuishia wapi basi mkuu?
Wewe ukimsikia hata anahoji ya chanjo leo, anaaminika kweri huyu?
..wakati wa kampeni za 2015 Magufuli alidai kuwa mgao ni suala la kutengeneza.
..alikwenda mbali na kudai eti kuna watu Tanesco wanafungulia maji toka kwenye dams za kuzalisha umeme ili kusababisha mgao.
..kampeni zilipokwisha sikuona mtu yeyote toka Tanesco akishtakiwa. pia sijamsikia tena Magufuli akirudia madai hayo.
Waziri wa nishati ni homeboy, kamwe hatutomsikia akigusia chochote kuhusu Chatonian mwenzake katika hiyo wizara
Waliua kiwanda cha Mang'ula kilichokuwa na uwezo mkubwa sana kwenye uchongaji wa vyuma sasa tunasubiri huruma ya mabeberuMabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi:
View attachment 1720216
Kumbe mambo yote ya hii kadhia yenye sura ya mgawo yako kidatu?
Kumeagizwa bearings hivi zinatengenezwa. Matengenezo yake tokea kwake beberu yanachukua muda kama clip inavyojieleza.
Tuwe na subira kidogo mwali wetu anakua.
Hata kama walisema ng'ombe wa maskini hazai, wetu watake wasitake lazima azae na azae jike!
Ninawasilisha.
[emoji23][emoji23][emoji23]kampuni ya babaakoNdiyo Maana mtanzania kuajiriwa na makampuni ya kigeni ni Kwa sababu tu Sheria zimelazimisha, lakini ki ukweli kabisa, Watanzania wengi ni wazembe na wanapenda zaidi starehe kuliko kazi
Watu wenyewe wawapo kazini, mmoja akijituma utawasikia wakimponda kusema, unateseeka,Kwani Kampuni ni ya babako??
Waliua kiwanda cha Mang'ula kilichokuwa na uwezo mkubwa sana kwenye uchongaji wa vyuma sasa tunasubiri huruma ya mabeberu
Nimemsikia Waziri anamlinda MDMabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi:
View attachment 1720216
Kumbe mambo yote ya hii kadhia yenye sura ya mgawo yako kidatu?
Kumeagizwa bearings hivi zinatengenezwa. Matengenezo yake tokea kwake beberu yanachukua muda kama clip inavyojieleza.
Tuwe na subira kidogo mwali wetu anakua.
Hata kama walisema ng'ombe wa maskini hazai, wetu watake wasitake lazima azae na azae jike!
Ninawasilisha.
Kipindi hicho alipita pale daraja la Mtera akakuta bwawa halina maji kabisaaaaa!!!..wakati wa kampeni za 2015 Magufuli alidai kuwa mgao ni suala la kutengeneza.
..alikwenda mbali na kudai eti kuna watu Tanesco wanafungulia maji toka kwenye dams za kuzalisha umeme ili kusababisha mgao.
..kampeni zilipokwisha sikuona mtu yeyote toka Tanesco akishtakiwa. pia sijamsikia tena Magufuli akirudia madai hayo.
Nimemsikia Waziri anamlinda MD
Ina maana MD hakuwa anajua kama bearing hazijanunuliwa?
Je hakuona umuhimu wa kufuatilia hilo?
Je fedha ya manunuzizi alikuwa nayo nani?
Au watu wa manunuzi walipewa fedha za kwenda kununua vifaa wakakaa nazo?
Lakini MD huyohuyo alikuweko huko siku chache akiutangazia umma kuwa maji yapo ya kutosha na hakutakuwa na wasiwasi juu ya kuwepo kwa umeme wa kutosha.