- Thread starter
- #41
Kuna mzee aliniambia hata huo mradi wa nyerere hao mabeberu wanawasubiri kwenye hizo mota na vifaa vyake ndio mtajua hamjui....
Enewei ngoja tisibirie
Mkunga atukanwa vipi hali uzazi ungalipo? Eti nini?
Thubutu!