Nashauri bearing za stiglers pia ziandaliwe za kutosha hata miaka 50 ijayo, maana mbele ya safari mabeberu wanaweza kutuambia mitambo ya kuchonga bearing ilishabadilishwa "hizo bearing hatutengenezi tena" kumbe ni hasira kwakuwa tulikaidi walichokitaka waoItamchukua miezi minne beberu kututengenezea bearings labda hizo hata ni mbili tu.
Kipindi hicho alipita pale daraja la Mtera akakuta bwawa halina maji kabisaaaaa!!!
Viboko walikuwa wanagaagaa kwenye tope la madimbwi machache ya maji hali ilikuwa tete
Nashauri bearing za stiglers pia ziandaliwe za kutosha hata miaka 50 ijayo, maana mbele ya safari mabeberu wanaweza kutuambia mitambo ya kuchonga bearing ilishabadilishwa "hizo bearing hatutengenezi tena" kumbe ni hasira kwakuwa tulikaidi walichokitaka wao
🤣🤣😁Beberu siyo saizi yetu. Hivi akikataa kutuuzia hizi bearings inakuwa je?
Ahsante kwa taarifa...
Hapa Tanzania hatuna kiwanda cha kutengeneza hivyo vipuli...
subiri povu kwa mataga
Teh teh tehMabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi:
View attachment 1720216
Kumbe mambo yote ya hii kadhia yenye sura ya mgawo yako kidatu?
Kumeagizwa bearings hivi zinatengenezwa. Matengenezo yake tokea kwake beberu yanachukua muda kama clip inavyojieleza.
Tuwe na subira kidogo mwali wetu anakua.
Hata kama walisema ng'ombe wa maskini hazai, wetu watake wasitake lazima azae na azae jike!
Ninawasilisha.
Unasema ukweli kabisaHawa kina Mrema na mwenzake Mkama tokea kule pande za kisarawe, hawa tunawaita ni "Mbagusiro" tu. Kwa kiswahili "Mbuzi wa kafara."
Au nasema uongo ndugu zangu?
TobaaaKazi tunayo hata bearings kama hizi hapa hatuwezi kutengeneza:
View attachment 1720828
Achilia mbali hizi bali hata za baiskeli za watoto hali kadhalika ni mtihani wa kutosha.
Hiiiiii bagosha!
Tufufue viwanda vyeti sasaMkuu kuna hata pa kutolea povu basi? Hapo hata ungekuwa wewe unashika wapi?
Beberu anataka miezi minne kamili kukupa bearings labda mbili na huna namna.
Hizo bearings - physical items ambazo hata samples zipo hatuwezi kutengeneza labda hata kuagiza kwingine.
Sembuse yale mambo yetu ya kile kirusi mama lao?
Ama kweli beberu ni baba lao.
Mnyongeni tu beberu ila haki mhhh!
T
Teh teh teh
Tobaaa