Mzee baba alishajinadi hakuna mgao ila wenye umeme wao hazipiti siku mbili wanakata tena bila taarifa wala nini.
Nadhani ni ishara nzuri hasa kipindi hiki ambapo zimebaki siku chache tufanye uchaguzi mkuu. Kuanzia Mbezi mwisho hadi Goba kote ni kilio cha umeme daily,sijui pande zingine nako kama TANESCO wanawasaidia kufanya maamuzi sahihi ya viongozi.
Tunakata makusudi ili tundu Lissu asifuatiliwe kwenye hizo smartphone zenu
Kwani hata kasi ya mtandao unaiona ipo sawa?
Tulia ww Sisiemuu wana igeuza TZ kama ULAYAMzee baba alishajinadi hakuna mgao ila wenye umeme wao hazipiti siku mbili wanakata tena bila taarifa wala nini.
Nadhani ni ishara nzuri hasa kipindi hiki ambapo zimebaki siku chache tufanye uchaguzi mkuu. Kuanzia Mbezi mwisho hadi Goba kote ni kilio cha umeme daily,sijui pande zingine nako kama TANESCO wanawasaidia kufanya maamuzi sahihi ya viongozi.
Ulaya hicho unacho kisema huwa hakitokei ngo lqbda iwe kimbunga, unless useme usiswmw pahala popotePahala popote mvua ikinyesha
Usually umeme hukatika kuepusha madhara
Basi wawashe afu mpigwe radi mfe mkose kupiga kuraUlaya hicho unacho kisema huwa hakitokei ngo lqbda iwe kimbunga, unless useme usiswmw pahala popote
Usikasirike sasa ! Hili janga tu la umaskin wa SSC ikiwemo Tz, kwa kununua ma vifaa used ...ulaya mvua ataa inyeshe siku mbili mfululizo huo umeme una waka kama kawaidaBasi wawashe afu mpigwe radi mfe mkose kupiga kura
Wacha rongorongo weweMkuu mvua ni siku mbili tu ilinyesha, wao ni daily
Haka katheory kakujilianganisha na ulaya kwa kila kitu kitawaponza,,,,,,,.Usikasirike sasa ! Hili janga tu la umaskin wa SSC ikiwemo Tz, kwa kununua ma vifaa used ...ulaya mvua ataa inyeshe siku mbili mfululizo huo umeme una waka kama kawaida