Umeme na mvua

Umeme na mvua

Kuna mikoa mvua ikianza kunyesha tu haichukui dakika 5 umeme unakatika sijui tanesco wameshindwa kusolve hili imekua ni tamaduni na desturi 🤔
Yaelekea wewe siyo mtoto wa 2000+ maana watoto wa kizazi hiki cha joka hupenda kusema "umeme umekata"

Hongera!
 
Back
Top Bottom