Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mzee huwa nakasilika sana, mtu kama Tony254 anakuja kuongelea science wakati hajui hata ABC.Unamazarau mingi jomba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mzee kidole unalazisha!?Ni vizuri umekubali kwamba umetiwa kidole na huyo jamaa. Huyo ndio dawa yako.
Umeanza kurudi kwenye mambo ya kitoto sasa. Upumbavu sipendi.Hebu angalio nilichoandika kwenye hiyo quote Mzee vipi ? , Definition ya car , is a car a machine or not Acha kuhamisha magoli
Mzee ninakuheshimu sana sipendi tunanze kuongea vitu vya kitoto kama Tony254Hebu angalio nilichoandika kwenye hiyo quote Mzee vipi ? , Definition ya car , is a car a machine or not Acha kuhamisha magoli
Najua unaniogopa sana.Mzee leo umefinywa sana. Wacha nikuwache tu angalau upumue. Dawa yako tumeipata.
Mzee unanikimbia mno. Ukiniona na quote comments zako unajificha.Wewe ni Mtanzania kama sijakosea. Sasa ni ile war kali uliompiga ndio inamfanya anakubatiza Ukenya.
Sawa. Ndio maana nimewaacha fahali wawili mpigane. Mimi yangu macho tuMzee huwa nakasilika sana, mtu kama Tony254 anakuja kuongelea science wakati hajui hata ABC.
Bora aendelee na kutunza pesa za boss wake na kufunga vitabu vya kihasibu mwisho wa mwaka ie
1. Trial Balance
2. Financial Performance
3. Financial Position
4. Cash flow.
Huku kwenye physics akae mbali.
Mzee sipendi mijadala ya kitoto.What the hell are you talking about ? Is a complex machine a machine or not ?
Mimi sipigani na mtu. I am a teacher. Natoa somo kwenu.Sawa. Ndio maana nimewaacha fahali wawili mpigane. Mimi yangu macho tu
Rudi kwenye mada acha kujiaibisha.Hujajibu swali is a complex machine a machine or not ? Acha kuokoteza videfinition uchwara
Wajua jinsi engine inaoperate kutoa mechanical rotational force kwenye tyres ili kumove car ?
Isijifanye unapotezea mada. Nataka taarifa za nuclear battery vs Lithium ion battery.Nashukuru umeelewa Hilo
Nishakuambia kuna ice breaker ships huko Russia na zinatumia nuclear power na hazitumii hio nuclear battery unayotusumbua nayo hapa.Isijifanye unapotezea mada. Nataka taarifa za nuclear battery vs Lithium ion battery.
Mzee nuclear battery zina generate very low power. Zimeanza kutumika since 1914.
Also unajaribu kulazimisha ujinga tu.
We are talking about ship kuendeshwa na battery.
Nilishakufundisha since beginning.
Utahitaji a heavy battery to operate a heavy machine.
Car is not a heavy machine.
Wewe na we. Sometimes unakuwa mpumbavu. Issue ya Nuclear Energy source by chain reaction tulishaimaliza hiyo. Na amekiri bado ipo kwenye tafiti. So nikamuambia wakikamilisha walete tutaacha fossil.Nishakuambia kuna ice breaker ships huko Russia na zinatumia nuclear power na hazitumii hio nuclear battery unayotusumbua nayo hapa.
Toa ushamba wako hapa. Nuclear battery sio lazima itumike in a nuclear powered ship. Hii ship haitumii nuclear battery lakini bado inatumia nuclear power. Usilazimishe nuclear battery kutumika wakati sio lazima itumike.
Nuclear-powered icebreaker
A nuclear-powered icebreaker (Russian: атомный ледокол) is a nuclear-powered ship, purpose-built for use in waters covered with ice. The only country constructing nuclear-powered icebreakers is Russia. Nuclear-powered icebreakers have been constructed by the Soviet Union and later Russia primarily to aid shipping along the Northern Sea Route in the frozen Arctic waterways north of Siberia.[1] Nuclear-powered icebreakers are much more powerful than their diesel-powered counterparts, and although nuclear propulsion is expensive to install and maintain, very heavy fuel demands and limitations on range, compounded with the difficulty of refueling in the Arctic region, can make diesel vessels less practical and economical overall for these ice-breaking duties.
Nuclear icebreaker Yamal, 2015
Basi poa.Mbona mkuu unakaza bichwa lako Hilo mimi nimekubishia kwani
Si nimekuambia kwamba Bill gates na kampuni yake ya Terra power wako maabara kufanya utafiti wa kutengeneza nuclear battery ambayo utakuwa more effective , efficient , light na more compact kuwa used kwenye cargo na civilian ships Mzee ? Na report wametoa mwaka Jana kwamba tafiti zinaendelea na zimefikia hatua nzuri inayoleta matumaini , lengo Lao ni kureplace matumizi ya nuclear reactor kwenye hizo meli maana batteries ni more compact Thant reactor ambazo ni rahisi zaidi kuvujisha radioactive wastes kwenye mazingira ya nje pia energy density na retention yake utakuwa ni kubwa mno hivyo kureplace reactor .Isijifanye unapotezea mada. Nataka taarifa za nuclear battery vs Lithium ion battery.
Mzee nuclear battery zina generate very low power. Zimeanza kutumika since 1914.
Also unajaribu kulazimisha ujinga tu.
We are talking about ship kuendeshwa na battery.
Nilishakufundisha since beginning.
Utahitaji a heavy battery to operate a heavy machine.
Car is not a heavy machine.
Kwa lugha ya kisanyansi wanaziita radioisotope generator or radioisotope battery MzeeBasi poa.
Halafu hizo zimeshatumika pia kwenye spacecraft's za kwenda mwezini na exploration nyingine za angani kumove vitu vizito na mitambo huko angani tofauti yake na reactor ni kwamba hizi batteries ni non rechargeable Ila energy density yake ni kubwa vibaya mno imagine Yale na vyombo ya kwenda mars yanatumia miaka kwenda Kule na source of power yanayotumiwa ni hizo nuclear batteries or radioisotopes generators Ila yenyewe hayatumii chain reactions kama ilivyo Kwa zile normal nuclear reactors mkuuBasi poa.