Umeme na Nishati - Kenya

Umeme na Nishati - Kenya

Unamazarau mingi jomba[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mzee huwa nakasilika sana, mtu kama Tony254 anakuja kuongelea science wakati hajui hata ABC.

Bora aendelee na kutunza pesa za boss wake na kufunga vitabu vya kihasibu mwisho wa mwaka ie
1. Trial Balance
2. Financial Performance
3. Financial Position
4. Cash flow.
Huku kwenye physics akae mbali.
 
Ni vizuri umekubali kwamba umetiwa kidole na huyo jamaa. Huyo ndio dawa yako.
Mzee kidole unalazisha!?
Hapa nilikuwa nawafundisheni.
Bahati nzuri mwenzako ni mwanafunzi mzuri amejifunza.
Lakini wewe mbumbumbu umekalia ubishani wa kipumbavu tu.
 
Hebu angalio nilichoandika kwenye hiyo quote Mzee vipi ? , Definition ya car , is a car a machine or not Acha kuhamisha magoli
Umeanza kurudi kwenye mambo ya kitoto sasa. Upumbavu sipendi.
Screenshot_20210616-132036.png
Screenshot_20210616-132240.png
 
Wewe ni Mtanzania kama sijakosea. Sasa ni ile war kali uliompiga ndio inamfanya anakubatiza Ukenya.
Mzee unanikimbia mno. Ukiniona na quote comments zako unajificha.
Huwe kujadili Mzee. Unachoweza ni kupiga kelele.
 
Mzee huwa nakasilika sana, mtu kama Tony254 anakuja kuongelea science wakati hajui hata ABC.

Bora aendelee na kutunza pesa za boss wake na kufunga vitabu vya kihasibu mwisho wa mwaka ie
1. Trial Balance
2. Financial Performance
3. Financial Position
4. Cash flow.
Huku kwenye physics akae mbali.
Sawa. Ndio maana nimewaacha fahali wawili mpigane. Mimi yangu macho tu
 
Hujajibu swali is a complex machine a machine or not ? Acha kuokoteza videfinition uchwara
Wajua jinsi engine inaoperate kutoa mechanical rotational force kwenye tyres ili kumove car ?
Rudi kwenye mada acha kujiaibisha.
Nitaanza kukudharau sasa Mzee.
Topic ya machine ni ya Form one.
Zipo Aina mbili za Machines
1. Simple Machine
2. Complex Machine
So car is a machine.
Sasa nakutaka urudi kwenye mada.
Nuclear Battery
 
Nashukuru umeelewa Hilo
Isijifanye unapotezea mada. Nataka taarifa za nuclear battery vs Lithium ion battery.

Mzee nuclear battery zina generate very low power. Zimeanza kutumika since 1914.
Also unajaribu kulazimisha ujinga tu.
We are talking about ship kuendeshwa na battery.
Nilishakufundisha since beginning.
Utahitaji a heavy battery to operate a heavy machine.

Car is not a heavy machine.
 
Nishakuambia kuna ice breaker ships huko Russia na zinatumia nuclear power na hazitumii hio nuclear battery unayotusumbua nayo hapa.
Toa ushamba wako hapa. Nuclear battery sio lazima itumike in a nuclear powered ship. Hii ship haitumii nuclear battery lakini bado inatumia nuclear power. Usilazimishe nuclear battery kutumika wakati sio lazima itumike.

Nuclear-powered icebreaker​

A nuclear-powered icebreaker (Russian: атомный ледокол) is a nuclear-powered ship, purpose-built for use in waters covered with ice. The only country constructing nuclear-powered icebreakers is Russia. Nuclear-powered icebreakers have been constructed by the Soviet Union and later Russia primarily to aid shipping along the Northern Sea Route in the frozen Arctic waterways north of Siberia.[1] Nuclear-powered icebreakers are much more powerful than their diesel-powered counterparts, and although nuclear propulsion is expensive to install and maintain, very heavy fuel demands and limitations on range, compounded with the difficulty of refueling in the Arctic region, can make diesel vessels less practical and economical overall for these ice-breaking duties.

Nuclear icebreaker Yamal, 2015
 
Wewe na we. Sometimes unakuwa mpumbavu. Issue ya Nuclear Energy source by chain reaction tulishaimaliza hiyo. Na amekiri bado ipo kwenye tafiti. So nikamuambia wakikamilisha walete tutaacha fossil.

Tulikuwa tunaongelea nuclear battery Mzee. Nimekuambia soma at least ABC za sayansi.

Hivi unajua tofauti ya Nuclear plant na Nuclear Battery!?
 
Isijifanye unapotezea mada. Nataka taarifa za nuclear battery vs Lithium ion battery.

Mzee nuclear battery zina generate very low power. Zimeanza kutumika since 1914.
Also unajaribu kulazimisha ujinga tu.
We are talking about ship kuendeshwa na battery.
Nilishakufundisha since beginning.
Utahitaji a heavy battery to operate a heavy machine.

Car is not a heavy machine.
Si nimekuambia kwamba Bill gates na kampuni yake ya Terra power wako maabara kufanya utafiti wa kutengeneza nuclear battery ambayo utakuwa more effective , efficient , light na more compact kuwa used kwenye cargo na civilian ships Mzee ? Na report wametoa mwaka Jana kwamba tafiti zinaendelea na zimefikia hatua nzuri inayoleta matumaini , lengo Lao ni kureplace matumizi ya nuclear reactor kwenye hizo meli maana batteries ni more compact Thant reactor ambazo ni rahisi zaidi kuvujisha radioactive wastes kwenye mazingira ya nje pia energy density na retention yake utakuwa ni kubwa mno hivyo kureplace reactor .
 
Basi poa.
Halafu hizo zimeshatumika pia kwenye spacecraft's za kwenda mwezini na exploration nyingine za angani kumove vitu vizito na mitambo huko angani tofauti yake na reactor ni kwamba hizi batteries ni non rechargeable Ila energy density yake ni kubwa vibaya mno imagine Yale na vyombo ya kwenda mars yanatumia miaka kwenda Kule na source of power yanayotumiwa ni hizo nuclear batteries or radioisotopes generators Ila yenyewe hayatumii chain reactions kama ilivyo Kwa zile normal nuclear reactors mkuu
 
Back
Top Bottom