Umeme na Nishati - Kenya

Umeme na Nishati - Kenya

Ona unavyojiexpose hiyo horse power unit Tu , kuna motors viwandani ziko rated interms of hp usitishike kuona horse power
Mwalimu wako alikuwa na shida sana kukufundisha. Motor za kwenye viwanda are not moving from one place to another. Zina tap electricity from the grid.

Sasa ship unataka itumie Electricity utajenga nguzo za umeme baharini!?
Nimekuuliza hiyo nuclear energy utaitumiaje kwenye Ship!?

Mbona ninakuuliza maswali rahisi tu!?
 
Huhitaji mabatery kurun meli we mtu , nuclear energy inatumia chain reactions ambazo ni endelevu kufua joto linalotumika kuzalisha umeme kwenye hivyo vyombo kama submarine , meli na boats
Okay hilo heat linazalishaje umeme!?
 
Huhitaji mabattery kurun meli we mtu ,nani kamwambia unahitaji batteries ? ,Soma hoja zangu uelewe , batteries zinatumika kwenye light vehicles kama magari , pikipiki , scooters NK , nuclear energy inatumia chain reactions ambazo ni endelevu kufua joto linalotumika kuzalisha umeme kwenye hivyo vyombo kama submarine , meli na boats
Mzee achana na conspiracy na theories za perpetual machines.
Unategemea Meli ziwe na matank makubwa ya maji ili kuzalisha steam kwaajili ya kuzungusha motor!?
Fanya calculation Mzee.
 
Tatizo lako ni kukaza ubongo , kwenye electric power using vehicles kama zinazotenfenezwa na Tesla chini ya Elon musk electric batteries is a must ili kuretain continuity ya electric power presence kurun Motor na control components nyingine ili kufanya chombo hicho kuoperate , you don't need that in ships Kwa sababu enerylgy density / weight ratio isn't worth it to pursue ,yaani kiasi cha nishati kitakachokuwa stored in relation to weight ni kidogo , hivyo utahitajika kuwa na mabattery makubwa mno ili kutunza nishati ,Ila Kwa upande WA magari na vitu vingine electric power is a perfect replacement Kwa fossil fuel , elewa
Mzee mbona unarudia hicho nilichokufundisha. Naona sasa ubongo umeanza kukukaa vizuri. So kwenye upande wa electricity case closed. Twende upande wa nuclear sasa. Tell me how heat produced from nuclear inaendesha ship!?
 
Hujui kusoma au ? , Idiot View attachment 1820257
Mzee hapa unaongea na scientist usitake kuleta hasira za kijinga.

Tofautisha Plant na Ship.
Nimekuuliza unataka sasa ship ziwe na tanks za kujifadhi maji ili ku generate steam!?
Tanks hizo zitakuwa na ukubwa gani ili kuweza ku generate umeme wa kuendesha ship!?
Tell me acha hasira. Ondoka kwenye non workable theories njoo kwenye uhalisia.
 
Pumbavu .we unadhani meli hizo au kitu tunachoongea hapa ni myth au ? , Jeshi la Marekani , China , Russia kuna mimeli inakaa miaka kwenye voyage na haijawahi kutia nanga yote inatumia nuclear , meli zote za kivita za jeshi zibatumia nyuklia Hanna diesel ,
Mzee hebu leta hiyo proof hapa nami niweze kujielimisha.
 
Mzee umehamia kwenye submarine tena!? Duh!! Wewe ni kiboko.
Umeisoma hiyo article mpaka mwisho Mzee.
Kwahiyo ship kutumia Nuclear energy umeachana nalo!?
 
Watu wameanza kutumia kitambo hii teknolojia ya nuclear propulsion kwenye vitu kama submarines , ships , aircraft carriers nk
Mzee hivi unajua tofauti ya Submarine na Ship!!?

Ship is a floating vessel but submarine inakuwa underwater so kutumia hiyo theory yako ya steam ni simple.
 
Mzee hebu leta hiyo proof hapa nami niweze kujielimisha.
Halafu nuclear propulsion system ni kwamba nuclear fission intake place joto linakuwa released then Hilo joto kupitia heat exchangers maji yanachomwa steam inakuwa produced then steam inatumika kurun rotary propellers za marine vehicle kama meli , submarine NK ili kumove meli au submarine at the same time inatumika kurun power generation turbines za generator ili kuzalisha nishati ya umeme Kwa matumizi ya meli na other control equipments
 
Halafu nuclear propulsion system ni kwamba nuclear fission intake place joto linakuwa released then Hilo joto kupitia heat exchangers maji yanachomwa steam inakuwa produced then steam inatumika kurun rotary propellers za marine vehicle kama meli , submarine NK ili kumove meli au submarine at the same time inatumika kurun power generation turbines za generator ili kuzalisha nishati ya umeme Kwa matumizi ya meli na other control equipments
Mzee nimekuambia unipatie meli ya mizigo inayotumia nuclear.
 
Halafu nuclear propulsion system ni kwamba nuclear fission intake place joto linakuwa released then Hilo joto kupitia heat exchangers maji yanachomwa steam inakuwa produced then steam inatumika kurun rotary propellers za marine vehicle kama meli , submarine NK ili kumove meli au submarine at the same time inatumika kurun power generation turbines za generator ili kuzalisha nishati ya umeme Kwa matumizi ya meli na other control equipments
Nuclear reactors are very costly and cargo ships need to be cheap to operate and carry lots of payload. A reactor requires lots of shielding which adds weight and reduces payload and add the cost of the reactor to this, we knw why we dont see nuclear powered cargo ships.
 
That is not the case , nuclear reactor size varies in size depending on the power demand within a particular vehicle
Mzee mbona inakuwa mbishi sana. I asked you which commercial ship uses nuclear!? Unazijua risks zake Mzee!?
 

Hiyo hapo , na ilikuwa developed na shirika la tafiti ya nishati ya nuclear Russia (Rosatom )
Mzee hebu soma historian kwanza ndio uje hapa. Nadhani umekua juzi
 
Soma hapo
The cost concerns of nuclear are obvious. The reactor costs much more to build than a diesel engine. But on top of that, maintenance and eventual disposal of redundant reactors present unpredictable costs.
 
Mzee hebu soma historian kwanza ndio uje hapa. Nadhani umekua juzi
Haya Kwa upande WA civilian and commercial cargo ships projects hizo hazikuendelea kutokana na hizi sababu walizotoa Ila Mimi siamini kwamba hii kitu haiwezekani maana kama Aircraft carriers , icebreakers na submarines zinaendelea kutumia nyuklia kuoperate mpaka muda huu , why cargo ships ? , more research have to be done ,

Kuna initiatives bill gates aliinitiate projects za kufanya research na innovation ili kutengeneza nuclear wastes desposing systems na effective nuclear reactors specific Kwa cargo and civilian ships usage

So the future is bright

 
Haya Kwa upande WA civilian and commercial cargo ships projects hizo hazikuendelea kutokana na hizi sababu walizotoa Ila Mimi siamininkwba hii kitu haiwezekani maana kama Aircraft carriers , icebreakers na submarines zinaendelea kutumia nyuklia kuoperate mpaka muda huu , why cargo ships ? , more research have to be done ,

Kuna initiatives bill gates aliinitiate projects za kufanya research na innovation ili kutengeneza nuclear wastes desposing systems na effective nuclear reactors specific Kwa cargo and civilian ships usage

So the future is bright
Mzee endelea kutokuamini. Wenzako tunasonga mbele. Endeleeni na research mkisha kamilisha mtatukuta tunaendelea na safari ya fossil.
 
Wewe Acha mawazo mgando Mzee technology is evolving and fast , be scientific minded individual , hao waliovumbua oil na engines zake wangekuwa na mawazo mgando kama ya waafrica wengi Leo hii dunia ingekuwa dark age mi nashangaa Kwa nini hatuna motivation ya kuwa pioneers / front liners kwenye inventions and discoveries , yaani Sisi study tukisikia kitu tunakuwa negative minded ,
Mzee nuclear siyo ugunduzi mpya. Nimekuwekea Ship zilizofanya jaribio hilo lakini zili fail.
Kuna innovation zingine za perpetual machines theoretical are so good, but practical zake ni utumbo.

Sasa wewe unawalaumu waafrica wewe si mwafrika!? Mbona moto kutumia kuni tulivumbua sisi waafrika!!!
 
Wewe Acha mawazo mgando Mzee technology is evolving and fast , be scientific minded individual , hao waliovumbua oil na engines zake wangekuwa na mawazo mgando kama ya waafrica wengi Leo hii dunia ingekuwa dark age mi nashangaa Kwa nini hatuna motivation ya kuwa pioneers / front liners kwenye inventions and discoveries , yaani Sisi ni watumiaji Tu , Africans are zero contributers to world's invention and technology , tukisikia kitu Tu tunakuwa negative minded , we are liability to the world
Kwani energy ni nuclear pekee!? Umiza ubongo Mzee.
 
Kuna project moja ya kutumia nuclear batteries ambayo watafiti wanasema ikikamilika utakuwa ni mkombozi Sana Kwa sekta hii , Nuclear power batteries are several time superior to lithium iron batteries
Mzee kwenye issue ya electricity tumeshafunga mjadala labda unaendeleza ubishi tu.

Electricity haiwezi kutengeneza payload kubwa. So iwe battery ya lithium au battery ya Uranium. Kazi ya battery ni ile ile to store charge.
 
Ndio nimekuambia kwamba kuna research za Bill gates hizo bado ni ongoing na matumaini yapo ya kupata uvumbuzi WA hayo matatizo Kwa upande WA civilian and cargo ships
Basi jitahidini mkishapata huo ugunduzi wenu mtuletee tuache kutumia fossil. But for now fossil is everything.
 
Back
Top Bottom