Umeme na Nishati - Kenya

Umeme na Nishati - Kenya

Kuna project moja ya kutumia nuclear batteries ambayo watafiti wanasema ikikamilika utakuwa ni mkombozi Sana Kwa sekta hii , Nuclear power batteries are several time superior to lithium iron batteries
Charge inapokuwa stored tunategemea kupata voltage. Kama uwezo wa kuzalisha voltage ni mdogo, we don't care whether inakaa miaka 1000.
 
Hii ni mojawapo Tu sio kwamba kuna power generation means nyingi Ila tatizo motives za kufanya research na improvement hatuna , we are like damn retards waiting for everything to be done by foreigners
Sasa kwanini unalalamikia wengine!? Fanya mwenyewe sasa kwakuwa umeshajua udhaifu wa wenzako. Kwani lazima kila mtu afanye research ya power generation!? Wengine tunafanya research za WHY PEOPLE DIES!?
 
Ishu sio payload wewe unajua maana ya payload ? , Suala ni means ya kustore nishati Kwa kutumia efficient na sustainable means , , zamani kabla ya mafuta watu walitumia steam engines , then oil engines the fourth industrial revolution is targeting in AI and zero carbon emission which emplies getting rid of fossil fuels to a huge extent
Mzee issue ya Electricity stored in battery tuache iendeshe Electronic devices and none moving machines pekee.

But tukija kwenye heavy moving things kwa sasa fossil inafanya vizuri.
 
Mzee matumizi ya fossil yatapungua, but siyo kwa kutumia Nuclear.

Mzee nimekupatia ulete Madhara ya kutumia Nuclear vs Fossil.
Nikakupatia alternative ya Liquid Hydrogen. Bado una piga kelele tu. Njoo na scientific explanation Mzee.
Boss fossil fuel ndio biggest contributor to climate change. Kama hujui kitu sema uelezewe.
 
Mzee I am not living in future, I am in present.
Kitu kinachokusumbua Mzee ni unaishi kwenye fantasy world.
But I am living in a real world.
Fantasy world is real world in scienctific world , Sisi wanasayansi hatuna real world or fantasy world , hii mnayoita fantasy world Leo miaka ya1800 mliwaza mngekuwa mnatumia electronic devices let alone traveling by a car ? , These are all scientific inventions not some voodoo magic rituals .
Our stupid useless countries should invest seriously in inventions and research not asslicking scumbags who contributed nothing to the world's betterment .
 
Eti global warming we unajua maana ya[emoji2956] global warming Mzee ? , Acha ubishi usio na maana , hebu eleza jinsi nuclear energy inaleta global warming ?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahaha. Huyu Venus ananyonya bangi sana. Apunguze mnyonyo wa bangi. Eti nuclear powerplants zinacause global warming.
 
Mzee issue ya Electricity stored in battery tuache iendeshe Electronic devices and none moving machines pekee.

But tukija kwenye heavy moving things kwa sasa fossil inafanya vizuri.
What do you mean by moving machines aren't automobiles vehicles and trucks moving machines ?
 
Fantasy world is real world in scienctific world , Sisi wanasayansi hatuna real world or fantasy world , hii mnayoita fantasy world Leo miaka ya1800 mliwaza mngekuwa mnatumia electronic devices let alone traveling by a car ? , These are all scientific inventions not some voodoo magic rituals .
Our stupid useless countries should invest seriously in inventions and research not asslicking scumbags who contributed nothing to the world's betterment .
Of course fantasy world is a real world in Science fiction.
 
Ngoja nikupatie somo sasa la Nuclear Physics.
Radioactive Atoms huwa zinatabia ya ku split and form new elements. So hii inaitwa nuclear fission.

But nuclear reaction zipo za aina mbili:-
Nuclear Fission and Nuclear Fusion.
Kwa sasa nuclear Fission ndio inatumika sana.
Sasa nuclear Fission inapotokea kunakuwa na release of energy and rays.
When we talk about global warming inasababishwa na vitu vingi moja wapo ni kuharibika kwa ozone layer. Sitaki niiongelee kwa undani ozone layer.

The energy release from radioactive nuclear reaction can trigger environmental chemical reaction.
Ozone layer contains triple oxygen.

NB: Usitake kuhamisha mada. Nataka ulete matumizi ya nuclear kwenye Marine Transportation.
Hahaha. Jamaa bado hujaelezea ni vipi nuclear energy inasababisha global warming.
 
Ona sasa unakoelekea Mzee. Ninachotaka unieleze Nuclear itatumikaje kuendesha ship!?
Mbona unaruka ruka Mzee.
Kwa hivyo wewe genius hujui kwamba kuna meli za kivita zinazotumia nuclear energy?
 
What do you mean by moving machines aren't automobiles vehicles and trucks moving machines ?
Twende kwa definition.
Sijui huko Kenya kama mnasoma somo la physics
Screenshot_20210616-132036.png
Screenshot_20210616-132240.png
 
Mzee umehamia kwenye submarine tena!? Duh!! Wewe ni kiboko.
Umeisoma hiyo article mpaka mwisho Mzee.
Kwahiyo ship kutumia Nuclear energy umeachana nalo!?
Umewekewa mpaka meli zinazotumia nuclear power. Sema tu kwamba hutaki kukubali ukweli kwamba umeshindwa kwenye huu mjadala.
 
Umewekewa mpaka meli zinazotumia nuclear power. Sema tu kwamba hutaki kukubali kwamba umeshindwa kwenye huu mjadala.
Meli ipi imewekwa hapa. Wewe mbumbumbu wa sayansi utajulia wapi tulikuwa tunaongelea nini.
Unazijua nyambizi wewe!?
 
Nuclear reactors are very costly and cargo ships need to be cheap to operate and carry lots of payload. A reactor requires lots of shielding which adds weight and reduces payload and add the cost of the reactor to this, we knw why we dont see nuclear powered cargo ships.
Umeambiwa kuna meli aina ya ice breakers huko Russia na zinabeba mizigo au zinatumika kwa matumizi mengine ya civilian duties ikiwemo kufungua njia ili meli zingine zipite na zinatumia nuclear power
 

Hiyo hapo , na ilikuwa developed na shirika la tafiti ya nishati ya nuclear Russia (Rosatom )

Asante. Leo umemtoa Venus matongotongo kwenye macho. Jamaa hajui lolote lakini anajiona genius hata kushinda Einstein. Ile fimbo amepigwa hapa leo hatawahi kusahau.
 
Wewe Acha ujinga , Kwa hiyo wewe unafikiri oil haina energy ? , a car is a machine that converts energy locked in a fuel thorough combustion to produces mechanical energy in form of kinetic energy , achana na definitions zako hizo za Wikipedia
Mzee naona upo nje ya mada.
Tunaongelea Battery ya Nuclear.
Usihamishe mada.
Nimekueleza kazi ya Battery is tu store charge.

Tulikubaliana battery haziwezi kutumika kwenye kuendesha Meli. Naona umeanza kuchanganyikiwa.
 
Kwa kifupi. Wewe ni mkenya pekee Mwenye akili. Wenzako hawawezi ku argue kisomi.
Nadhani mjadala uendelee kuwa wa kisayansi zaidi. Siyo huyu Tony254 mshauri aendelee na Kazi ya kutunza pesa za matajiri wake.
Ni vizuri umekubali kwamba umetiwa kidole na huyo jamaa. Huyo ndio dawa yako.
 
Back
Top Bottom