Kaka Omar,
Hivi wale commercial and trade attachee wetu walioko kwenye balozi zetu nchi za nje kazi zao ni nini?
Wapo ambao tayari wameshaguliwa lakini mshiko serikalini unagoma hivyo wengi wao bado kwenda vituoni. Hata hivyo nina wasiwasi kama teuzi zao zinaendana na mahitaji yaliyopo. Labda wangechukuwa vijana toka sekta binafsi wenye upeo kiasi na kudeal na CORPORATE clients ingesaidia. Ofcourse watahitaji kupigwa msasa kidogo lakini naamini kama watakuwa recruited kwa umakini natumai watasaidia zaidi kuliko hawa career civil servants walioathiriwa na utamaduni wa kiserikaliserikali...
omarilyas
Be more specific on this and give examples!
Haya ni maneno yako kutoka mtaa wa pili hukoo, "But who am I to talk power and energy while I am not an expert in engineering or energy but mbwabwajaji?" mwisho wa kunukuu. Rashidi, Nyepesi (Zitto) na karibu major players wooote ktk timbwili hili ni wabwabwajaji tu kama wewe, mna zero expertize ktk masuala ya umeme.........nimekosea?
Haya ni maneno yako kutoka mtaa wa pili hukoo, "But who am I to talk power and energy while I am not an expert in engineering or energy but mbwabwajaji?" mwisho wa kunukuu. Rashidi, Nyepesi (Zitto) na karibu major players wooote ktk timbwili hili ni wabwabwajaji tu kama wewe, mna zero expertize ktk masuala ya umeme.........nimekosea?
YNIM mkuu, kukosa expertise haina maana kuwa hatuna reasoning and the ability to synthesize information.
Thats not what i said.......na issue hapa sio ku-synthesize information ni zaidi ya hivyo na ndio maana expertize ni nyeti!
the question becomes why Tanesco has continued to fail and rush to use cheap methods to distribute electricity?
if you read the feasibility studies for Pangami or other Hydro projects such as Kidatu an Mtera, there is a line up of matatizo, and he question becomes why Mchungaji ngwini mbwabwajaji finds the faults nd not YNIM the engineer who designed the plan?
Hence my argument and I agree with Rev Kishoka, that despite his lack of engineering knowledge he would make a good manager of TANESCO.
I use common sense and my Ngwiniism tells me I can be a better Tanesco CEO than even some of those who were there who were Engineers!
Lets say I give you a token for your argument, then the question becomes why Tanesco has continued to fail and rush to use cheap methods to distribute electricity? if you read the feasibility studies for Pangami or other Hydro projects such as Kidatu an Mtera, there is a line up of matatizo, and he question becomes why Mchungaji ngwini mbwabwajaji finds the faults nd not YNIM the engineer who designed the plan?
Normally, I would agree with you 100%, but unfortunately due to reasons I have cited in my posting on page 6, this is not true in Tanzania. Hence my argument and I agree with Rev Kishoka, that despite his lack of engineering knowledge he would make a good manager of TANESCO. For example do you think that in order to manage Muhimbili, we need a doctor to manage it? Or to manage KIA airport we need a pilot? No, we need good managers! Expertise advise is essential and a good manager is the one who gets the right experts to advise him and implement plans.
Oh really? Does he have any pedigree in management?
Nyani,
Hivi kuongoza ni lazima uwe na PHD? je nikiwa mkulima kama Eva Morales wa Bolivia na nikawa na mawazo endelevu, huoni kuwa ni bora kuliko kuwa na msomi kama Kerry ambaye ni blah blah?
Sio kweli...mainjinia hawana the last word! Kila kitu ni siasa na mangwini (kama wewe) ndio wenye neno la mwisho na ndio maana kila kitu cha "kitaalamu" hakiendi na wala havifanikiwi!
Ya PhD. yametokea wapi tena? Nilichouliza mimi ni kama una pedigree (background) ya management na sio kama una leadership qualities? Au kati ya management na leadership hakuna tofauti?
Umesahau Uranium inaokotwa kwa vipolo !Kwani tatizo la umeme Tanzania limetokana na nini? tumezungukwa na maziwa makubwa matatu, tuna mito bwelele, mabonde kibao n.k kwanini bado tunahangaika na nishati?