Matango
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 535
- 118
Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo kutokana na madhara ya kukosekana kwa umeme.
Hali ni mbaya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia makaa ya mawe imechoka, haijapata ukarabati wa kutosha, umeme umekuwa ukitolewa kwa mgao wa kikanda.
Tushukuru Tanzania na Kiongozi wetu Mpendwa Dk Samia hali ni ya utulivu na kila inapotokea changamoto ya umeme hatua zinachukuliwa. Tanzania tumebarikiwa. Hongera sana Dk. Samia kwa Uongozi uliotulia na makini.