Umeme Si Tatizo Tena Ni Usugu ulio Pitiliza

seneni

Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
5
Reaction score
4
Takribani miezi sasa tunasika tatizo la umeme ama mgao au upungufu Kwa neno jingine, sasa tunaomba kujua Hilo tatizo limebadikika maana mfano Mwanza wilay nyamagana hususani nyegezi hili eneo la stendi ni takribani wiki ya pili sasa umeme unakatwa kila siku asubuhi na kurejeshwa jioni Sana.
Watu wanashighuli zao ndogondogo Kama kunaulazima Sana walau watoe ratiba sahii watu wajue ili wajipange...

Umeme imekua Kero kubwa Sana tunaomba lichukuliwe Kama Janga la kitaifa Kwa ukubwa wake .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…