mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Wengi nilisikia wakisema "mwanamke hawezi kutawala nchi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nipo kujificha hapa mkuu🤣🤣🤣🤓Subiri wapite na ww 😊
Solar saiv zimepanda beiSasa hivi wame extend ratiba wanakata asubuhi mpaka saa tano au saa sita usiku.lla watanzania tubadilishe mindset zetu unakuta mtu anauwezo wa kifedha vizuri tu lakini anategemea umeme huu wa tanesco kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani.Nitoe ushauri kama unauwezo wa kifedha funga solar system nyumbani ,kuondokana na manyanyaso haya ya tenesco utakuja ona life is so simple ,maana bei ya solar systems kwa sasa sio ki vile Kama miaka ya nyuma .
Mwanasheria wangu yupo likizoUmeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?
hii ni noma laptop pasiKummmk😀😀🖐️ na hapo natumia laptop ambayo ni desktop 😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23] mbaya zaidi ulikuwa una edit na hujasevuKummmk[emoji3][emoji3][emoji2772] na hapo natumia laptop ambayo ni desktop [emoji23][emoji23]
Hakuna anaejali mzee"hii ndo tanzania ya ccm, maamaee...."
kila wakikata nalaumu waliorudisha ccm madarakani... incompetent leaders kabisa....
wapiga dili wapenda dezo na wasiojali wanaoathirika ni wananchi masikini ambao ndio wapiga kura wao.