Umeme ukikata ghafla huwa unatamka maneno gani unayotamani TANESCO wayasikie?

Sasa hivi wame extend ratiba wanakata asubuhi mpaka saa tano au saa sita usiku.lla watanzania tubadilishe mindset zetu unakuta mtu anauwezo wa kifedha vizuri tu lakini anategemea umeme huu wa tanesco kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani.Nitoe ushauri kama unauwezo wa kifedha funga solar system nyumbani ,kuondokana na manyanyaso haya ya tenesco utakuja ona life is so simple ,maana bei ya solar systems kwa sasa sio ki vile Kama miaka ya nyuma .
 
Solar saiv zimepanda bei
Nadhani ndo wanahonga Tanesco wakate ili wauze bei kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"hii ndo tanzania ya ccm, maamaee...."
kila wakikata nalaumu waliorudisha ccm madarakani... incompetent leaders kabisa....
wapiga dili wapenda dezo na wasiojali wanaoathirika ni wananchi masikini ambao ndio wapiga kura wao.
 
Hakuna anaejali mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…