Kumekucha Siku Nyingine Mwezi Mwingine Tarehe 01.08.019 Ila Sasa Kukiwa Kimya Hasa Huduma Ya Umeme Baadhi Ya Maeneo Ya Jiji Niliyopita Asubuhi Hii Buza, Davis Corner, Kariakoo, Upanga Nimeona Huduma Hakuna Tena Jiji Likiwa Ukiwa Mtupu ===== SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) Agosti 01...