Umeme umekatika maeneo mengi ya Dar es Salaam muda huu

Umeme umekatika maeneo mengi ya Dar es Salaam muda huu

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Kuna nini kinaendelea?Sehemu nyingi za Dsm hazina umeme muda huu
 
Janga la taifa,gas imehama mji ipo BP UK hivyo na bwawa la Nyerere halitoshi,miaka 60 ya uhuru and counting.
Umechoka unarudi nyumbani na tanesco mitambi imezidiwa.
 
Sio kwamba ni hujuma? Vyombo vyetu vinafanya nini? Kufuatilia wanao sema NRNE?
 
Huku mikoani tumeshasahau kwamba kuna tatizo la kukatika umeme
 
Daslam apo sio kabisa Kuna joto sana bila feni kutoboa usiku mitihan Bado mbu
 
Back
Top Bottom