Fundiumemetz
New Member
- Jan 24, 2022
- 2
- 5
Dumila Morogoro kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme,ni vyema wahusika wakachukua hatua za haraka kumaliza kabisa changamoto hii.
UFAFANUZI WA TANESCO KUHUSU HOJA HII UKO HAPA 👇🏻
Asante. ^FL
UFAFANUZI WA TANESCO KUHUSU HOJA HII UKO HAPA 👇🏻
Habari Fundiumemetz , asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo. Tafadhali tufahamishe jina la Mtaa/Kijiji na namba yako ya simu ili tuweze kukupatia msaada zaidi.Dumila morogoro kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme,ni vyema wahusika wakachukua hatua za haraka kumaliza kabisa changamoto hii.
Asante. ^FL