Fundiumemetz
New Member
- Jan 24, 2022
- 2
- 5
Habari Fundiumemetz , asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo. Tafadhali tufahamishe jina la Mtaa/Kijiji na namba yako ya simu ili tuweze kukupatia msaada zaidi.Dumila morogoro kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme,ni vyema wahusika wakachukua hatua za haraka kumaliza kabisa changamoto hii.

Habari, ndugu mteja. Pole sana kwa changamoto unayokumbana nayo.Kuna kero imejitokeza morogoro
Habari, ndugu mteja.Duh!! Poleni sana kwa changamoto hiyo nafikiri mamlaka husika italishughulikia