Atlantis Voyager
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 371
- 502
Mtihani! Nenda Tanesco, mita inaweza kuwa mbovu alternatively, ita mafundi wa umeme waangalie wiring yako kama haina leakage.Ndugu wadau
Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo nalo ni nenoNenden Tanesco na ikiwezekana mje na fundi wao home kabisa aangalie luku yenu au pengine kuna jirani mtundu kaunganiasha anatumia mita yenu bila nyie kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wadau
Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
tafuta fundi mwenye vipimo nakipimo cha kupimia ilo tatizo kinaitwa megga
Azime kila kitu halafu aangalie kama mita inatembeaNenden Tanesco na ikiwezekana mje na fundi wao home kabisa aangalie luku yenu au pengine kuna jirani mtundu kaunganiasha anatumia mita yenu bila nyie kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...bosi kipimo kinaitwa Insulation resistance tester (kipimo Cha ukinzani tenganishi) Mega ni brand name ya zamani sana...na haipo..siku hizi Kuna fluke, Kyeristo, Texas nk notafuta fundi mwenye vipimo nakipimo cha kupimia ilo tatizo kinaitwa megga
Kama hamna wiring structure nzuri inaweza kuwa kuna mtu mjanja amefunga connection yenu inatumika nje. Hapa Duniani kila kitu kinawezekanaNdugu wadau
Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ichi au akiwezi mkuuDah...bosi kipimo kinaitwa Insulation resistance tester (kipimo Cha ukinzani tenganishi) Mega ni brand name ya zamani sana...na haipo..siku hizi Kuna fluke, Kyeristo, Texas nk no
Usikariri chief[emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
hajakariri, megger inatoka kwa Megohmmeter , na wala sio 'Brand' nameUsikariri chief
Dah hiki ni UNI- T mkuu siyo mega 🤣 🤭kama ichi au akiwezi mkuu
kwaiyo una maanisha Brand ulizo taja ndio zinafanya kazi?Dah hiki ni UNI- T mkuu siyo mega 🤣 🤭
yeah ni kweli hazipona haipo..siku hizi
zote ni Insulation R. tester, working principle ni the same, zote zinafanya kazikwaiy
kwaiyo una maanisha Brand ulizo taja ndio zinafanya kazi?
Fanya yafuatayoNdugu wadau
Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app