Umeme unaenda haraka zaidi ya maajabu msaada

Umeme unaenda haraka zaidi ya maajabu msaada

Fanya ivi wakati ofisi haipo kwenye operational Njoo record unit then zima vifaa vyote kaa ata six hours njoo uangalie kama reading zime change kama kuna changes apo unaweza kuwa na problems ya Leakage sasa Solution hapa ni either Mfunge breaker ya detect añy ot this leakage ili umeme usiendelee kuvuja na kupelekwa ardhini.

kitu ambacho kitaongeza bills kuna breaker ina Itwa RCBO hio ina both Earth leakage protection na Over current ama sivo mbadilishiwe iyo meter inaweza kuwa na shida ila pia acheni matumizi ya vifaa cheaper waswahili wanasema Nafuu ni gharama na short cut is always a long cut, tuambie pia mna loads zipi na zipi na mnaziwasha approximate kwa masaa mangapi ili tuwàpe roughly estimation bill yenu.
 
Fanya yafuatayo
1. Zima main switch halafu kaangalie units kama zinaendelwa kuliwa au la. Kama zinaliwa ita TANESCO
2. Ita fundi akucheckie earth resistance value. Domestic house resistance ikiwa below 10ohms is Ok. Hapabcheck vile vile kama earth rod yako ni pure copper. Tumia sumaku kujua hilo
3. Weka list ya vifaa unavyotumia pamoja na electrical specidications zake, hasa POWER (kW or W) tukushauri zaidi
Kuna kitu nimepata sasa mimi natumia unit 3 moaka 3.5 kwa siku naona kama kuna tatizo pia

Vifaa ninavyotumia
1.Frdge 122w masaa yote
2. Light security 40w 2pcs masaa 12
3. Light 3w 13pcs masaa 3
4. Light 5w 2pc masaa 2
5. Tv 98w masaa 6 wastani
6. Fan 55w masaa 14 wastani
7. Rice cooker 850w 0.5hrs wastani
8. Juice maker 350w 0.3hrs wastani
7. Subwoffer, kucharge simu, kingamuzi, hivi swezi jua maana situmii sana hasa subwoffer
 
Ok...
1.Frdge 122w masaa yote = (122 x 24)/1000 = 2.928kWh
2. Light security 40w 2pcs masaa 12 = (80 x 12)/1000 = 0.96kWh
3. Light 3w 13pcs masaa
(3 x 13 x 3)/1000 = 0.117kWh
4. Light 5w 2pc masaa 2
(5 x 2 x 2)/1000 / 0.02kWh
5. Tv 98w masaa 6 wastani
(98 x 6)/1000 / 0.588kWh
6. Fan 55w masaa 14 wastani
(55 x 14)/1000 = 0.77kWh
7. Rice cooker 850w 0.5hrs wastani
(850 x 0.5)/1000 = 0.45kWh
8. Juice maker 350w 0.3hrs wastani
(350 x 0.3)1000 = 0.105kWh
9. Subwoffer, kucharge simu, kingamuzi, hivi swezi jua maana situmii sana hasa subwoffer
Asume the rotal kWh for number nine item ia 0.01kWh

Total kWh for all items is
2.928 + 0.96 +0.117 + 0.02 + 0.588 + 0.77 + 0.45 + 0.105 + 0.01 = 5.938kWh

1kWh = 1 unit
Ulitakiwa irumike hiyo 5.938 units per day. BUT REMEMBER NO EQUIPMENT WILL OPERATE AT ITS 100% RATINGS MOSTLY 70% TO 80%... HENCE UNITS UNAZOTUMIA NI SAWA
 
Dah...bosi kipimo kinaitwa Insulation resistance tester (kipimo Cha ukinzani tenganishi) Mega ni brand name ya zamani sana...na haipo..siku hizi Kuna fluke, Kyeristo, Texas nk no
Usikariri chief[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
Multi meter sI inafanya hiyo kazi pia
 
Duh iv tanesco hawapo humu maan kwangu sio pw ,me nmehamia sehem wanasema walkuw wanaweka umeme wa 10000 Kwa mwezi lakin nlipoingia umeme unakaa siku 8 wa 10000 😥me nna pressure cooker tuuu na tv basi Sasa sijajua shida nin maan had mwez uishe unakuta nmeweka wa 40000 +
M
 
Ni ofisi ya namna gani mkuu,isije ikawa ni mortuary yenye mifridge isiyo ya kawaida tukatoa ushauri pasipostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waya wa Ethi utakuwa umeisha... Wasiliana na fundi aje kurekebisha kuweka waya upya.. Mwenyewe nilikuwa na tatizo kama hilo ila alivyobadilisha sasa hv unit haziendi kama zamani
 
Fanya yafuatayo
1. Zima main switch halafu kaangalie units kama zinaendelwa kuliwa au la. Kama zinaliwa ita TANESCO
2. Ita fundi akucheckie earth resistance value. Domestic house resistance ikiwa below 10ohms is Ok. Hapabcheck vile vile kama earth rod yako ni pure copper. Tumia sumaku kujua hilo
3. Weka list ya vifaa unavyotumia pamoja na electrical specidications zake, hasa POWER (kW or W) tukushauri zaidi
Mkuu, Mimi ya kwangu specifications zake ni kama zinavyoonekana hapo, Haina sehemu iliyoandikwa Watts kadhaa, je hii inatumia units ngapi kwa saa 12?
 
Attachments

  • IMG20240714121523.jpg
    IMG20240714121523.jpg
    4.2 MB · Views: 3
Mkuu, Mimi ya kwangu specifications zake ni kama zinavyoonekana hapo, Haina sehemu iliyoandikwa Watts kadhaa, je hii inatumia units ngapi kwa saa 12?
Watts ni Volts x Amps so.
120v x 1.1amps = 132 watts.
Ila sasa umeme wa TZ sio 120V ni 230 so hiyo picha sio sahihi au unatumia converter kwa bongo.
So ingekuwa 230 x 1.1 = 253 watts. (Vifaa vya 230 mara nyingi vinahitaji amps ndogo zaidi so angalia vizuri label)

Masaa 12 kwa hiyo ya kwenye picha.
132W x 12h = 1584 Wh
Gawanya kwa 1,000 kupata kiloWattHours
1.584, "unit" ya tanesco ni 1 kWh so unit 1.584 kwa masaa 12.

Unaweza kutumia calculator online, ila usiangalie bei maana hazifanani na Tanesco angalia ni kWh ngapi ambayo ndo "unit" ya Tanesco.
 
Asante kwa majibu maxuri na sahihi.

CC Sexer
 
Asante kwa majibu mazuri mkuu, hiyo picha nimepiga kwenye TV yangu aina ya TOSHIBA, kwa majaribio niliyofanya kwa kuzima vitu vyote na kuacha tv tu, inaonekana inakula unit 1 kwa masaa kumi. Je ni sahihi kwa tv kutumia kiasi hicho cha umeme?
 
Yes ni sahihi, kama unavyoona mahesabu yanasema unit 1.5 kwa masaa 12. Lazima kutakuwa na tofauti fulani kati ya mahesabu na uhalisi inategemea vitu vingi kama setting za picha, tv nyingi pia zina economy mode ambayo inapunguza matumizi ila picha haikolei sana.

Unaweza kupima kwa uhakika zaidi kutumia kifaa kama hiki Watt Meter au Power Meter
1721056460569.jpeg
 
Back
Top Bottom