Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Hebu tuandikie vifaa vyote vinavyotumika katika mita hiyo tutoe ushauri vizuriNdugu wadau
Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu nimepata sasa mimi natumia unit 3 moaka 3.5 kwa siku naona kama kuna tatizo piaFanya yafuatayo
1. Zima main switch halafu kaangalie units kama zinaendelwa kuliwa au la. Kama zinaliwa ita TANESCO
2. Ita fundi akucheckie earth resistance value. Domestic house resistance ikiwa below 10ohms is Ok. Hapabcheck vile vile kama earth rod yako ni pure copper. Tumia sumaku kujua hilo
3. Weka list ya vifaa unavyotumia pamoja na electrical specidications zake, hasa POWER (kW or W) tukushauri zaidi
Ok...Kuna kitu nimepata sasa mimi natumia unit 3 moaka 3.5 kwa siku naona kama kuna tatizo pia
Vifaa ninavyotumia
1.Frdge 122w masaa yote
2. Light security 40w 2pcs masaa 12
3. Light 3w 13pcs masaa 3
4. Light 5w 2pc masaa 2
5. Tv 98w masaa 6 wastani
6. Fan 55w masaa 14 wastani
7. Rice cooker 850w 0.5hrs wastani
8. Juice maker 350w 0.3hrs wastani
7. Subwoffer, kucharge simu, kingamuzi, hivi swezi jua maana situmii sana hasa subwoffer
Multi meter sI inafanya hiyo kazi piaDah...bosi kipimo kinaitwa Insulation resistance tester (kipimo Cha ukinzani tenganishi) Mega ni brand name ya zamani sana...na haipo..siku hizi Kuna fluke, Kyeristo, Texas nk no
Usikariri chief[emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Ni ofisi ya namna gani mkuu,isije ikawa ni mortuary yenye mifridge isiyo ya kawaida tukatoa ushauri pasipostahili.Ndugu wadau
Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh iv tanesco hawapo humu maan kwangu sio pw,,,Hebu tuandikie vifaa vyote vinavyotumika katika mita hiyo tutoe ushauri vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
MDuh iv tanesco hawapo humu maan kwangu sio pw ,me nmehamia sehem wanasema walkuw wanaweka umeme wa 10000 Kwa mwezi lakin nlipoingia umeme unakaa siku 8 wa 10000 😥me nna pressure cooker tuuu na tv basi Sasa sijajua shida nin maan had mwez uishe unakuta nmeweka wa 40000 +
Waya wa Ethi utakuwa umeisha... Wasiliana na fundi aje kurekebisha kuweka waya upya.. Mwenyewe nilikuwa na tatizo kama hilo ila alivyobadilisha sasa hv unit haziendi kama zamaniNi ofisi ya namna gani mkuu,isije ikawa ni mortuary yenye mifridge isiyo ya kawaida tukatoa ushauri pasipostahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Mimi ya kwangu specifications zake ni kama zinavyoonekana hapo, Haina sehemu iliyoandikwa Watts kadhaa, je hii inatumia units ngapi kwa saa 12?Fanya yafuatayo
1. Zima main switch halafu kaangalie units kama zinaendelwa kuliwa au la. Kama zinaliwa ita TANESCO
2. Ita fundi akucheckie earth resistance value. Domestic house resistance ikiwa below 10ohms is Ok. Hapabcheck vile vile kama earth rod yako ni pure copper. Tumia sumaku kujua hilo
3. Weka list ya vifaa unavyotumia pamoja na electrical specidications zake, hasa POWER (kW or W) tukushauri zaidi
Watts ni Volts x Amps so.Mkuu, Mimi ya kwangu specifications zake ni kama zinavyoonekana hapo, Haina sehemu iliyoandikwa Watts kadhaa, je hii inatumia units ngapi kwa saa 12?
Asante kwa majibu maxuri na sahihi.Watts ni Volts x Amps so.
120v x 1.1amps = 132 watts.
Ila sasa umeme wa TZ sio 120V ni 230 so hiyo picha sio sahihi au unatumia converter kwa bongo.
So ingekuwa 230 x 1.1 = 253 watts. (Vifaa vya 230 mara nyingi vinahitaji amps ndogo zaidi so angalia vizuri label)
Masaa 12 kwa hiyo ya kwenye picha.
132W x 12h = 1584 Wh
Gawanya kwa 1,000 kupata kiloWattHours
1.584, "unit" ya tanesco ni 1 kWh so unit 1.584 kwa masaa 12.
Unaweza kutumia calculator online, ila usiangalie bei maana hazifanani na Tanesco angalia ni kWh ngapi ambayo ndo "unit" ya Tanesco.
Electricity Calculator
Free electricity calculator to estimate electricity usage as well as cost based on the power requirements and usage of appliances.www.calculator.net
Multimeter haiwezi pima resistance kubwa precisely.Multi meter sI inafanya hiyo kazi pia
Asante kwa majibu mazuri mkuu, hiyo picha nimepiga kwenye TV yangu aina ya TOSHIBA, kwa majaribio niliyofanya kwa kuzima vitu vyote na kuacha tv tu, inaonekana inakula unit 1 kwa masaa kumi. Je ni sahihi kwa tv kutumia kiasi hicho cha umeme?Watts ni Volts x Amps so.
120v x 1.1amps = 132 watts.
Ila sasa umeme wa TZ sio 120V ni 230 so hiyo picha sio sahihi au unatumia converter kwa bongo.
So ingekuwa 230 x 1.1 = 253 watts. (Vifaa vya 230 mara nyingi vinahitaji amps ndogo zaidi so angalia vizuri label)
Masaa 12 kwa hiyo ya kwenye picha.
132W x 12h = 1584 Wh
Gawanya kwa 1,000 kupata kiloWattHours
1.584, "unit" ya tanesco ni 1 kWh so unit 1.584 kwa masaa 12.
Unaweza kutumia calculator online, ila usiangalie bei maana hazifanani na Tanesco angalia ni kWh ngapi ambayo ndo "unit" ya Tanesco.
Electricity Calculator
Free electricity calculator to estimate electricity usage as well as cost based on the power requirements and usage of appliances.www.calculator.net
Yes ni sahihi, kama unavyoona mahesabu yanasema unit 1.5 kwa masaa 12. Lazima kutakuwa na tofauti fulani kati ya mahesabu na uhalisi inategemea vitu vingi kama setting za picha, tv nyingi pia zina economy mode ambayo inapunguza matumizi ila picha haikolei sana.Asante kwa majibu mazuri mkuu, hiyo picha nimepiga kwenye TV yangu aina ya TOSHIBA, kwa majaribio niliyofanya kwa kuzima vitu vyote na kuacha tv tu, inaonekana inakula unit 1 kwa masaa kumi. Je ni sahihi kwa tv kutumia kiasi hicho cha umeme?